Askofu Wolfgang Pisa
Rais Samia kupitia mitandao yake ya kijamii ameandika haya kumpongeza Mhashamu Askofu Wolfgang Pisa
Pongezi za dhati kwa Mhashamu Askofu Wolfgang Pisa, Askofu wa Jimbo Katoliki Lindi kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Kuchaguliwa kwako...