1. Mvalishwa Pete wala hakuonyesha kustuka.
2. Huenda Hata waandishi na MC aliwalipa yeye mwenyewe.
3. UMRI ukisogea Noma sana. Unafosi kila kitu.
4. Ni kama alijivalisha Pete mwenyewe.
**PICHA kwa Hisani ya MC Garab
Ndoa ndoano! Mambo sio mambo!
Muigizaji aliyegeukia biashara, mwanadada Jackline Wolper Massawe ‘Wolper’ inaripotiwa kupata bwana mpya baada ya ndoa yake kukumbwa na sintofahamu nyingi.
Ikumbukwe Wolper alifunga ndoa takatifu na aliyekuwa baba wa mtoto wake Richard ‘Rich Mitindo’ 19/11/2022...
Jacqueline afanyiwa 'send off' akiwa katika maandalizi ya ndoa hapo baadaye. Dada huyo wa watoto wawili aliingia ukumbini ndani ya gauni jeusi refu.
Kila la heri, watu wanatafuta ndoa hawapati ila huyu umri umeenda ila ndiyo bahati kama zote.
Mfanyabiashara Rich Mitindo ambaye anajulikana kuwa, ndiye baba wa mtoto Paschal 'P' aliyezaa na msanii nyota wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper Masawe, anatajwa kuwa, mbali na kumzalisha nyota huyo, pia amembadilisha tabia.
Kauli kutoka kwenye kinywa cha msanii nguli wa kiume, amesema...
Staa wa filamu Bongo Jacqueline Wolper anasema hawezi kumuacha salama mpenzi wake Rich Mitindo 'Baba P' kama atamuumiza na kumpiga matukio kwenye mahusiano.
Jacqueline Wolper ameongeza kusema endapo Rich Mitindo akimzingua hataweza kumvumilia, atatoa taarifa kwa kinachoendelea kupitia akaunti...
Hatimaye siri imefichuka baada ya Rich Mitindo kuweka picha ya mpenziwe mwigizaji na mfanyabiashara Jackqueline Wolper akiwa na 'kibendi'. Wolper ambaye imekuwa ikisemwa ana ujauzito licha ya yeye mwenyewe kukana na hata kugombana na mwigizaji mwenzie Shamsa Ford, ameonekana mwenye furaha huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.