Nimekuwa shabiki wa soka kwa muda mrefu sana. Kwa muda wa miaka 20 sasa. Nimeangalia mechi nyingi sana na za kutosha, zaidi ya 1000 hadi leo hii.
Toka enzi za goli la dhahabu hadi leo hii ambapo goli la ugenini limefutwa kwenye mashindano ya Ulaya na technolojia ya VAR inatumika.
Nimeangalia...
Stadium 974 ni uwanja ambao baada ya Kombe ya Dunia utabomolewa, kwa nini vilabu vyetu visishawishi dili ya kuununua?
Unapendeza kweli na umejengwa kwa makontena tu!
Jamaa kashamzidi Michael Platini, David Trezeguet na Zinedine Zidane kwa idadi ya magoli kwenye Timu yaTtaifa ya Ufaransa. Amebakisha magoli mawili kuifikia rekodi ya Thierry Henry.
Anaonekana kama mchezaji anyedharauliwa zaidi hapa duniani na ninaona akienda kupata kuanzia magoli matatu (ili...
Position
No.
Player
Club
Age
Caps
GK
1
Alisson
Liverpool (ENG)
30
56
GK
23
Ederson
Manchester City (ENG)
29
18
GK
12
Weverton
Palmeiras (BRA)
34
11
DEF
4
Marquinhos
PSG (FRA)
28
70
DEF
14
Eder Militao
Real Madrid (SPA)
24
23
DEF
3
Thiago Silva
Chelsea (ENG)
38
108
DEF
2
Danilo...
Michuano ya Kombe la Dunia inatarajiwa kufanyika kuanzia November 20 mpaka December 18 mwaka huu. Michuano ya mwaka huu ni mara ya kwanza kwa Kombe la Dunia kufanyika katika nchi ya Kiarabu lakini ni mara ya pili kwa michuano hiyo kufanyika katika bara la Asia mara baada ya Korea Kusini na Japan...
Rais huyo wa zamani wa FIFA, amedai kuwa hakutaka michuano hiyo ya 2022 ichezwe Qatar kwa kuwa ni nchi ndogo kuweza kusimamia shughuli hiyo kubwa ya soka.
Blatter (86) ambaye alikuwa Rais wa FIFA wakati maamuzi hayo yanafanyika Mwaka 2010 anasema yeye aliipigia kura Marekani huku akimlaumu...
Wataalam,
Niipongeze Taifa Stars kushiriki na kuonyesha uzalendo na ushindani katika michuano ya kombe la dunia ingawa kuna mapungufu mawili matatu yanayosahihishika ni hatua kubwa kwa timu na serikali kwa ujumla tunajua huu ni mwanzo wa maendeleo mapana yajayo, tuizungumzie timu yetu;
Hali...
Habari wadau wa michezo,
Kuna tetesi au taarifa ya kweli ikihusu TBC1 kuonyesha mechi za Kombe la Dunia nchini Qatar mechi takribani 28 ni jambo la kupongezwa sana.
TV'S Kama KBC, UBC, MBC YA Malawi hizo TV's kila Kombe la Dunia wanaonesha ila TBC tu ndiyo huwa wana tuweka gizani, hata mechi...
Ecuador ipo hatarini kuondolewa katika Kombe la Dunia 2022 kutokana na utata wa nyaraka za mchezaji wao, Byron Castillo, ikiwemo hati ya kusafiria ambapo inadaiwa beki huyo ni raia wa Colombia.
Uchunguzi wa awali umebaini kuna cheti cha kuzaliwa kinachoonesha Castillo alizaliwa Colombia, lakini...
23 May 2022
Yaoundè Cameroon
Je U17 Serengeti Girls kuandika Historia kwa kupata tiketi ya Kushiriki michuano ya Kombe la Dunia 2022
Nchi za Tanzania pamoja na Ghana, Nigeria zimejisogeza katika nafasi nzuri za kujinyakulia tiketi za timu zitakazowakilisha bara la Afrika katika michuano ya...
WAZEE WA SAMBA BALL, ni miaka 20 iliyopita tokea Brazil itwae Kombe la Dunia kwenye ardhi ya Japan na Korea ikiwa na nyota pendwa Ronaldo de Lima, Rivaldo, Cafu, Zee la mashuti Roberto Carlos, Dida, Gilbeto Silva bila kumsahau Ronaldinho Gaucho hakika Brazil ni taifa lililojaliwa vipaji lukuki...
Imeripotiwa kuwa mashine maalum ya VAR (Video Assistant Referee) iliyokuwa imewekwa Abuja Nigeria kwa ajili ya kusaidia waamuzi wa mchezo wa play off wa kufuzu Kombe la Dunia 2022 kati ya wenyeji Nigeria dhidi ya Ghana imeibiwa uwanjani hapo.
Mchezo huo ulimalizika kwa sare bao 1-1 ambapo faida...
Sijajuaga huyu mtu anafeligi wapi sijui hana watu wa PR and Marketing, albamu yake iliyotoka jana ni kali sana mnoooo ila hili song akituliza kichwa akajipanga na kufanya lobbying linampeleka kimataifa kabisaaaaaaa hata FIFA wanaweza kulitumia katika orodha ya anthems za World Cup 2022.
Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Khalid bin Khalifa bin Abdulaziz Al Thani, amesema watu waliopata Chanjo dhidi ya COVID19 pekee ndio wataruhusiwa kushuhudia Kombe la Dunia mwaka 2022.
Taifa hilo limesema lipo katika majadiliano ili kupata Dozi Milioni 1 ili kutoa Chanjo kwa baadhi ya watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.