world

The world is the planet Earth and all life on it, including human civilization. In a philosophical context, the "world" is the whole of the physical Universe, or an ontological world (the "world" of an individual). In a theological context, the world is the material or the profane sphere, as opposed to the celestial, spiritual, transcendent or sacred spheres. "End of the world" scenarios refer to the end of human history, often in religious contexts.
The history of the world is commonly understood as spanning the major geopolitical developments of about five millennia, from the first civilizations to the present. In terms such as world religion, world language, world government, and world war, the term world suggests an international or intercontinental scope without necessarily implying participation of every part of the world.
The world population is the sum of all human populations at any time; similarly, the world economy is the sum of the economies of all societies or countries, especially in the context of globalization. Terms such as "world championship", "gross world product", and "world flags" imply the sum or combination of all sovereign states.

View More On Wikipedia.org
  1. Tunahitaji Rais Mzalendo 2025 aupitie upya Mkataba wa DP world

    Uwekezano wa kuingizwa mjini na Samia ni mkubwa sana. Tunahitaji tumpate Rais wazalendo 2025 akauchunguze huu mkataba wa Bandari. CCM Hawaaminiki na hawajawahi kuaminika kamwe. Mpaka 30 iishe robo tatu ya tuliomo humu aidha tutakuwa tumeshakufa au tu wazee sana. Hiyo miaka 30 ikiisha hakuna...
  2. Mikataba na DP World: Mengi mmeyasema, hili vipi?

    Chimbuko la mikataba mitatu iliyosainiwa jana ni mkataba-tata kati ya Tanzania na DP World. Mkataba huu ulipangwa kuchakatwa; kujadiliwa na kusainiwa sirini. Ulipovujishwa na 'mzalendo', ukaibua mjadala mkali. Wengi waliupinga na kuupiga. Serikali ikaiteka hoja kwa kudai kuwa inaruhusu maoni...
  3. Utiaji saini Mikataba ya DP World: Hakukuwa na haja ya kuwatupia vijembe TEC

    Halikuwa jambo la kiungwana. Wahusika mnisikie na kunielewa. Jana, pale Ikulu Chamwino kwenye utiaji saini mikataba mitatu ya uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam kati ya Serikali/TPA na DP World vilirushwa vijembe kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Tuliofuatilia tunajua kuwa...
  4. Kurekebisha mkataba wa DP World, hongera Rais Samia

    Rais Samia Suluhu Hassan Nikiwa mmoja wa members wa JF nilyepinga sana mkataba wa awali kati ya nchi yetu na DP World, nachukua nafasi hii kumpongeza Mama Samia. Pongezi zangu zinazingatia vipengele kadhaa: - Watanzania wengi tunapenda uwekezaji na nchi iweze kuvutia mitaji toka kote duniani...
  5. Baada ya maboresho ya mkataba na DP world serikali ichukue hatua kwa wote waliotuingiza mkenge

    Serikali imekiri uwepo wa vipengele vibovu na wamekubali kukosolewa na kufanyia Kazi maoni ya wengi.Kuishia kurekebisha haitoshi kwa masilahi mapana ya walipakodi. KWANINI wale wote waliohusika kuanzia watoa hoja/wanasheria/washauri /wabunge ambao ndio wapitisha madudu na wengine wote...
  6. Unasaini mkataba wa bandari wakati huo huo unamrudisha Makonda. CCM Bado ni wahuni

    Pole pole anasema kataa wahuni na wahuni wenyewe wako ndani ya CCM. Matukio haya ya leo yamekuja ilimradi kutuchanganya tu ...tujadili lipi tuache lipi ... Kwa ufupi sisi tutajadili yote pamoja na uhuni huo ...hasa hasa la Bandari. Je vipengele vimerekebishwa? Huyo makonda wenu mtajuana wana...
  7. S

    Maaskofu wa TEC wamehudhuria utiaji saini wa mikataba 3 ya DP World?

    Kama walihudhuria basi watakuwa wametenda dhambi hizi:- Wamesaliti waraka wao waliousoma kwa majuma 6 mfululizo kupinga uwekezaji huo;:- Wamepofushwa na fedha sh milioni 100 waliopewa hivi karibuni na rais Samia . Wamedharau waumini wao. Kwann kama wameukubali waraka hawajapeleka mrejesho...
  8. Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100

    Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023. https://www.youtube.com/live/N6izYMjIOaI?si=O_YQZdZcwAOJWWpD MKURUGENZI MKUU WA TPA, PLASDUCE MKELI MBOSSA Uwekezaji huu wa Serikali kupitia TPA...
  9. Rasmi: Maandamano ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023

    Rasmi sasa maandamano yetu ya amani ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023 kama tamko linavyojieleza. Watanzania anzeni kujiandaa na mvua za manyunyu kabla hatujaanza na mvua za mawe.
  10. R

    Kama NEC iliyokaa kikao cha dharura imejadili suala la Bandari na DP World, nini kimefanya iwe dharura? Bandari ipo salama?

    Kuna taarifa kwenye magazeti kwamba katika kikao cha dharura cha NEC hoja kuu ni mkataba wa bandari. Lakini nijuavyo mimi hii siyo dharura wala hoja yakujadili kwa masaa kadhaa ikafungwa au kutolewa maamuzi bali ni hoja inayohitaji muda wa kutosha. Nini kimepelekea iwekwe kwenye kikao cha...
  11. Boss la DP World Ndani ya Kidimbwi Beach

    Jioni ya leo ntakuwa kwenye moja ya meza pale nikizungukwa na watoto wazuri tukila maisha. Wale chawa wangu mnakaribishwa ila sitajitambulisha, nyie angalieni tu sura za ki boss hazifichiki. Mwalimu Mpwayungu Village uje nikununulie juice ya box na maji unywe mpaka upoteze fahamu. Ukifika...
  12. Has world war 3 commenced yet?

    Hello, I see Palestine with Israel Russia with Ukraine Taiwan with China African revolution What can possibly trigger a full war into the whole world, what can make nation pick sides. ? Economy war: BRIC with US dollar Nini kinaendelea , what the hell in the world is happening? What the...
  13. Senior Private Sector Specialist at World Bank October, 2023

    Position: Senior Private Sector Specialist Job #: req24601 Organization: World Bank Sector: Private Sector Development Grade: GG Term Duration: 4 years 0 months Recruitment Type: Local Recruitment Location: Dar Es Salaam, Tanzania Required Language(s): English Job Duties and Responsibilities...
  14. B

    H. E. Dr. Benson A. Bana interviewed by Diplomatic World TV

    15 September 2023 Abuja, Nigeria https://m.youtube.com/watch?v=SekSr9WCgWM His Excellency Dr. Benson Alfred Bana high commissioner of Tanzania to Nigeria, talks on investment opportunities and incentives available in the United Republic of Tanzania in a one on one interview with Amb. Tolu...
  15. How does the World will end?

    Katika kila maisha ya binadamu kuna mambo mengi yanatokea ambayo yatamfanya mwanadamu abwage manyanga kwenye kufikiri mfano kutafuta asili ya jambo mfano wa kiumbe! Zipo nadharia nyingi zimeanzishwa ili kuendeleza ugunduzi wa misingi ya mambo haya tata katika asili yamambo mfano mkubwa asili ya...
  16. T

    Ni Oktoba sasa anaeijua kinachoendelea kuhusu DP world atujuze

    Karibuni wanajamvi tupeane updates Kulingana na IGA hawa waarabu WA DP si walipaswa kuanza Oktoba?😁😁😁
  17. N

    Unyonyaji wa rasilimali na wawekezaji wa kigeni unachangia mapinduzi Africa. DP World utakuwa mfupa mgumu kwa Rais Samia na CCM yake

    Wakati wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa walipozungumza mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wiki iliyopita, baadhi ya Viongozi wa Afrika hawakuweza kuhudhuria, baada ya kuondolewa madarakani katika mapinduzi ya kijeshi. Mataifa haya hayashiriki mambo mengi yanayofanana nje ya...
  18. Je, button ya Uhuru wa kujieleza imezimwa?

    Chawa walikuja na mbwembwe kwamba karejesha uhuru wa habari na kujieleza. Hila kiuhalisia anadidimiza uhuru wa kujieleza. Juzi kati Ney Wamitego aliachia ngoma yake, ambayo badae akaitwa BASATA akaitwa na Polisi. Siku kadhaa zimepita Dada wa kule mbeya naye akaachia kibao chake "Mnatuona...
  19. DP World kuanza kuendesha bandari ya Dar es Salaam tarehe 01 Novemba 2023

    Kelele za Watanganyika kulilia dhidi ya mkataba mbovu wa bandari, hazijasikilizwa na DP WORLD wanaingia rasmi ofisini tarehe 01 November. Watu walikuwa wanadhani watendaji wa DP WORLD ni Waarabu, hapana, kuna Wazungu, Wahindi, Wafilipino na watu weusi.
  20. Nini maana ya kuuza Nafsi kwa Shetani? what shall it profit a man, if he shall gain the whole world, and lose his own soul?

    Inner peace is a new success. Ndugu zangu wanadamu leo napenda nitoe elimu kidogo kuhusu suala la kuuza Nafsi au kwa kizungu selling your Soul. Binafsi naamini shetani yupo na pia shetani ni mjanja sana lakini watoto wa Mungu tunajua mbinu zake za kuwapoteza wanadamu. Waefeso 6: 12 inasema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…