Habarini za wakati huu wana jamii forums, ni matumaini yangu mu wazima, kwa wale wenye changamoto za kiafya Mungu awafanyie wepesi.
Kuna kisa kilitokea miaka kadhaa iliyopita, nimekikumbuka nimeona nishee hapa jukwaani.
Shule ya msingi niliyosoma, mwalimu wetu mkuu ndiyo alikuwa anatufundisha...