Klabu ya Wydad Athletic Club imewasiliana tena na Yanga kwa ajili ya kupata saini ya wachezaji wawili, Clement Mzize na Stephane Aziz Ki.
Pia, Soma: Hawa ndio Wachezaji Wazawa ghali zaidi Ligi Kuu Tanzania, Vilabu vikubwa Afrika vyawatolea macho
Ukiangalia mwenendo wa Wydad unaona kabisa no timu ambayo itachukua muda mrefu sana kukaa sawa.
Club World Cup ni mwakani na Wydad ndiyo kwanza imefungiwa kufanya usajili kwa hiyo zoezi la kuboresha timu linazidi kuwa gumu.
Si muda mrefu watatimua kocha wao. Naona kabisa huko World Cup...
I salute you kinsmen..!
Wote tunakumbuka namna mamelodi pamoja na aliyekuwa kocha wao bwana Rhulani mokwena walipoikonya yanga ushindi wao halali kabisa na kwenda kutolewa hatua ya nusu final.
Kwa sasa mokwena ana hali ngumu pale wydad kwani amekuwa mtu wa vipigo kila siku anababuliwa kama...
Unaambiwa, vigogo wa soka la Morocco, Wydad Casablanca, hawajakata tamaa. Wakifukuzia saini ya mshambuliaji wa Taifa Stars na Yanga SC, Clement Mzize. Hii ni baada ya klabu yake kuweka wazi kuwa hajupo sokoni. Lakini Wydad hawajali, hawasikii wala hawaogopi—wanaendelea kushindilia mlango ambao...
- Wydad Casablanca wanamtaka mshambuliaji Clement Mzize (20).
Ofa ya kwanza ya Wydad kwenda Yanga kwa ajili ya kuinasa saini ya Clement Mzize ilikuwa $100k Tsh 270 milioni na kipengele cha kuongeza pesa hadi kufika 400 million kutokana na Performance yake uwanjani.
Yanga wakaitupilia mbali...
Wydad Casablanca Wameongeza kasi yao kuinasa Saini Mshambuliaji Kinda wa Tanzania na Yanga Africa Clement Mzize
Offer ya Wydad Casablanca kwa Clement Mzize inatajwa ni 1.8B Salary+Signing on fees on 3 years contract
Clement Mzize kwenye mikono ya Rhulani Mokwena.
Klabu ya Azam fc yaonjeshwa ladha ya mchezo wa ligi za mabingwa kwa kupokea kichapo cha bao nne kwa moja dhidi ya wenyeji wao Wydad Casablanca inayoongozwa na aliyekua kocha wa Mamelod Sundowns, Rulan Mokwena katika mchezo wa kirafiki wa maandalizi ya msimu mpya wa 2024/25, Hata hivyo azam...
Hivyo ndivyo ninavyoweza kusema kwasababu kama tunakumbuka fainali za mataifa ya Afrika yametamatika hivi karibuni na Bingwa kuwa muandaaji wa michuano husika yaani Cotè d'ivoire.
Kama mtakumbuka;
Baada ya Cotè d'ivoire walipenya kwenye tundu la sindano na hii ni baada kupita kama Best looser...
Huu ni ukweli Mchungu!
Simba wiki 2 zijazo ina kibarua kigumu!itakutana na Wydad mara mbili wiki ijayo! Mechi hizi zitakuwa ni ngumu mno Kwa Simba! Hii inatokana na ukweli kuwa ndio mechi zitakazoamua Ima Simba aende Robo Fainali au Wydad ajenge matumaininya kuingia Robo Fainali na kuendelea...
Huu ni ukweli Mchungu!
Simba wiki 2 zijazo ina kibarua kigumu!itakutana na Wydad mara mbili wiki ijayo! Mechi hizi zitakuwa ni ngumu mno Kwa Simba! Hii inatokana na ukweli kuwa ndio mechi zitakazoamua Ima Simba aende Robo Fainali au Wydad ajenge matumaininya kuingia Robo Fainali na kuendelea...
Baada ya kushuhudia mechi ya USM ALGER dhidi ya Yanga sasa ni muda wa kuangalia mchezo mkubwa na wenye heshima zaidi.
Ni mechi kati ya mabingwa watetezi dhidi ya mabingwa wa muda wote kwenye hii michuano.
Mchezo ni saa 3 kamili usiku
Kumbuka ni fainali itayochezwa mara mbili.
Hizi hapa ni...
Huu ni ujumbe kwenye wenye visoklokwinyoooo na vijiba vya rohoo kwa simba.
Simba ni team kybwa sana hapa Africa na duniani na tunatambua ili tuwe mabigwa africa lazima tucheze na mabigwa.
Wanasimba hatuogopi team yoyote ile maana hao mnaosema watashinda sisi tulishawashinda teyariiiii...
Nami GENTAMYCINE nauliza je, wakiongezea na High Pressure yaani tucheze Mifumo yote Mitatu ya Low Block, High Pressure and Counter Attack kwa mfumo wa 4-1-4-1 Mwarabu hatochapika Kwao Mohammed V Stadium Siku ya Ijumaa na Mnyama ( Simba SC ) kutinga kwa mara ya Kwanza CAFCL Semi Finals?
Karibuni...
Hakika huu ndio ukweli na hii ni baada ya kuona clip mmoja mtandaoni. Mashabiki wa hii timu wana spirit ya ajabu katika kushangilia na kuna wahamasishaji kabisa wako kwa ajili hiyo.
Wingi wa mashabiki pamoja na spirit kubwa ya ushangiliaji, ni wazi hii ndio sababu tosha timu nyingi kula kichapo...
Kuna kila dalili magoli ya jumla kuwa date kati ya Simba na Wydad Casablanca hivyo kusababisha njia nyingine ya kuamua matokeo katika mchezo huo, ni muhimu sana Simba kujipanga kwa jambo hili.
Katika mchezo huo Simba inatarajiwa kuingia kwa nidhamu kubwa ya ulinzi hivyo kuwa vigumu kwa Wydad...
Jean Baleke ni mchezaji mzuri lakini bado hatoshi kuisaidia Klabu katika nyakati ambazo Klabu inahitaji matokeo.
Kwa aina yake ya uchezaji anaonekana ni mchezaji wa kuvizia vizia tu, anayekosa traits za kuamua mechi kubwa kama wanavyofanya wakina Erling Halaand, Peter Shalulile, Olly Watkins na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.