Mtandao namba 1 kwa kuibua mijadala mbalimbali ulimwenguni maarufu kama X zamani ukijulikana kama Twitter ni kama umezimwa nchini Tanzania. Ukijaribu kuingia kwa njia ya kawaida unagoma mpaka utafute VPN.
Je ni tatizo la kimtandao au ndio umezimwa kimyakimya?
Kuna Dada mmoja anamporomoshea kashfa na kejeli za kila namna mume wake wa zamani, akimwita ka Omari.
Mbaya zaidi huyo ka Omari kakaa kimya, hajibu chochote
Habari za Asubuhi wakuu,wale wakubwa zangu Shikamoo Mshana Jr ,Shikamoo ndugu yangu wa muda mrefu GENTAMYCINE ,mambo vipi mdogo wangu rikiboy Mzee wa kula Tunda kimasihara,
Kiufupi ndugu yenu ZERO IQ nilijipa breki kidogo hapa Jamii forum na kwenda huko kwenye huo mtandao wa watu wa X zamani...
Mtandao wa kijamii wa X zamani (Twitter), umesimamisha na kuifungia akaunti ya lugha ya Kiebrania ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei.
Hatua hiyo imekuja saa chache baada ya akaunti hiyo kutuma ujumbe unaosema, “Utawala wa Israel ulifanya makosa. Ulikosea katika...
Elon Musk anaendelea kuboresha kanuni za mawasiliano ya mitandaoni kwa hatua nyingine ya juu kabisa.
Sasa Elon anasema kama umaweeka bandiko ama post na imechagua hilo bandiko liende kwa umma ama public basi hata wale ulio wablock wanatakiwa kuona maana ni public unless uchague kuweka private...
Uamuzi huo umefanywa na Jaji Alexandre de Moraes ikiwa ni miezi miwili tangu Mtandao huo ilipofungiwa kutoa huduma zake nchini humo kwa madai ya kukiuka Sheria ya Mitandao
Brazil's Supreme Court has said it is lifting a ban on the social media platform X, formerly known as Twitter.
In his...
Toka 2021 nimekuwa nikitumia Twitter ku comment na ku like ku following, ila miaka ya hivi karibuni imenizuia kufanya hayo yote isipo kuwa ku like.
Naomba msaada kama kuna namna ya kufanya niweze kutumia kwa ukamilifu, nimejaribu kuwasiliana nao inashindikana au sijajua namna nzuri ya...
Mnamo tarehe 30 Agosti 2024, tuliona ongezeko la hali isiyo ya kawaida kwenye mitandao kadhaa nchini Tanzania, ikionyesha kuwa upatikanaji wa Twitter/X ulizuiliwa kwa watumiaji wengi nchini. Ishara zenye nguvu zaidi za kuzuiliwa kwa Twitter/X zilionekana kwenye mitandao ifuatayo: Vodacom...
Mahakama Kuu nchini Brazil, leo September 2, 2024 itatoa uamuzi kwa kupiga Kura itakayoidhinisha kufungiwa au kuondoa adhabu hiyo dhidi ya Mtandao wa X (zamani Twitter), uamuzi uliotolewa Agosti 31, 2024 na Jaji Alexandre Moraes.
Kura hizo zitapigwa na Majaji 11 akiwemo Jaji Mkuu ambapo idadi...
Taarifa kutoka Netblocks zinasema mtandao wa X (Twitter) umepigwa pini nchini Tanzania
---
Confirmed: Live metrics show that X (formerly Twitter) has been restricted on Tanzania's main internet providers; the incident comes as the police force issues an alert over alleged opposition party plans...
MNAACHA KUFUNGA MAFISADI NA WANAODHULUMU WANANCHI MNATAKA KUFUÑGA k X (Twitter) ACHENI UNAFIKI.
Anaandika, Robért Heriel
Mtibeli
Ni kweli ushoga ni mbaya hilo hata sisi Watibeli tunajua na tunaupinga.
Lakini hiyo haimaanishi kuwa ni mbaya zaidi kuliko ufisadi na dhulma.
Kihistoria dunia...
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa ikishuhudia mijadala mikali kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii, hasa Twitter, ambayo imekuwa ikichukuliwa kama mtandao wenye nguvu katika kuhamasisha mabadiliko na kutoa maoni. Hata hivyo, kumekuwa na upinzani mkubwa kutoka kwa baadhi ya...
Jukwaa la mtandao wa kijamii wa X maarufu kama Twitter, limebadili Sera zake za Maudhui na sasa litaruhusu rasmi watu kuonesha au kuchapisha maudhui ya watu wazima yanayohusisha Ngono ilimradi tu yaandikwe kabisa kuwa ni maudhui ya aina hiyo.
Hatua hiyo inairasimisha sera ya maudhui ya kikubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.