xiaomi

  1. Kampuni ya Simu ya Xiaomi yafungua ofisi zake Tanzania?

    Kampuni ya China inayotengeneza vifaa vya Electronic hasa simu janja ya Xiomi wamefungua ofisi zao Tanzania. Ofisi hizo ninapatikana mtaa wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam. Hi ni kwamujibu wa page yao kwenye mtandao wa Facebook.
  2. N

    Imechukua Miaka mitatu Kuredesign Hii logo ya Xiaomi na Imegharimu $305,000

    Mpaka Sasa sijapata jibu kuhusu wajamaa kuwa ni kiki wanatafuta, Wamepigwa ama Kuna ubunifu gani umetumika hapa. Kwa taarifa walizotoa ni kuwa imechukua Miaka mitatu kukamilisha hii design Mpya na Wamelipa kiasi cha dola za kimarekani $305,000 Kwa designer mjapani aitwaye Kenya Hara
  3. Phone4Sale Nauza oppo A9 2020

    Ram 8gb ROM 128gb Betty 5000mAh Double line Chpset Snapdragon (11nm) Tsh 280,000 Inacrecks kidogo haina atizo lolote zaidi inapiga kazi freshi 0692402211
  4. Kati ya Xiaomi Redmi Note 8(snapdragon) na Redmi Note 9 (Mediatek) ipi bora?

    Wadau habari zenu.? Nilikuwa natumia Samsung A30, ambayo nilinunua mwaka juzi ,nilipanga mwaka huu ninadilishe.. bahati mbaya jana nikiwa na mashkaji tunapiga mambo niliidondosha, haifanyi kazi kwenye screen, ofcourse huwa situmii screen protector hivyo tangu muda imepasuka kioo, ila jana kioo...
  5. Iphone effect: Xiaomi Mi11 itauzwa bila charger.

    Xiomi imeingiza sokoni simu yao mpya ya Mi11 sokoni. Kama iphone 12 na wao hawatauza sambamba na charger kwa kigezo cha kutunza mazingira na kusaidia kupunguza taka plastiki duniani. Sababu hii pia ndio walitumia apple inc kutuuzia simu bila charger na ikaleta mijadala mikubwa humu...
  6. Xiaomi wazindua the fastest charging phone around

    Kampuni ya electronics, XIAOMI, Imezindua simu mpya ( Xiaomi Mi 10 Ultra) yenye 4,500 mah battery inayoweza kwenda 0% to 100% charge ndani ya dakika 20 tu ikitumia official charger ya watts 120 🔥 Pia simu hiyo ina support 50 watts wireless charging ambapo itatumia 40 minutes pekee kujaa Simu...
  7. Uzi maalumu wa picha zilizopigwa na simu za XIAOMI

  8. J

    Root simu ya android yoyote ukitumia magisk

    MAANA YA ku-ROOT ku-ROOT maana yake ni kuweza kupata uwezo au access ya system files zilizopo kwenye simu yako ambazo kwa kawaida zinakuwa zimejificha au kuzuiwa kwa mtumiaji ili asiweze kuzifikia , kwa kiingereza naweza kusema its an ability to obtain administrative access or rights on the...
  9. REDMI NOTE 7 64GB FOR SALE (BRAND NEW)

    JIPATIE BRAND NEW XIAOMI REDMI NOTE 7 YA GB 64 KWA 500,000 YA GB 128 KWA 600K. CAMERA - 48 MP RAM - 4 -6 GB BATTERY - 4000mAh WITH FAST CHARGER USB TYPE C BIDHAA ZOTE ZIKO SEALED NA MAELEWANO YAPO. Contact : 0738985904
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…