Nimeambatanisha Ripoti ya mapendekezo ya Kamati. Lakini nitayaorodhesha mapendekeo hayo hapa:-
Kuhusu Mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani ya Vyama vya Siasa
Kuhusu demokrasia ndani ya vyama vya siasa
Kuhusu ruzuku kwa vyama vya siasa inayotolewa na Serikali.
Kuhusu uhuru wa Tume ya Taifa...
Wanabodi,
https://www.youtube.com/live/FKV_bbjQpg4?si=zxr9EcF4YASpj6Fo
Niko hapa ukumbi, JNICC, kwenye Mkutano wa Msajili wa Vyama vya Siasa na Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa Nchni Tanzania kuelekea Uchaguzi...
1. Kuhusu Mikutano ya Hadhara na Mikutano ya Ndani ya Vyama Vya Siasa,
Kikosi Kazi kinapendekeza Sheria ya Vyama vya Siasa ifanyiwe marekebisho ili:
a) kulipatia Baraza la Vyama vya Siasa mamlaka ya kuishughulikia suala la uvunjifu wa maadili ya Vyama vya Siasa kupitia Kamati yake ya...