Wanajamvi naomba mnishauri sehemu ambapo ninaweza kufanya kozi ya lugha ya kingereza, ili niweze kuwa mzungumzaji mzuri, na kuboresha matamashi, uwezo wangu ni "intermediate". Nipo mkoani Dodoma!
Kama ni online naomba jina la website
Asanteni
Habari zenu wana JF! Hii makala imebidi niiandike kwaniaba maana nimeona baadhi ya watu hawaijui hii sheria ya T T zinapokutana
katika lugha ya kingereza T zinapokutana basi T moja haitamkwi na T iliyobaki inatamkwa kwa kukazwa.
Mfano: 1. streeT Town.
Neno hili litatamkwa stree 'Town.
2...
Baada ya kuisoma asili ya lugha ya kingereza katika makala ya kwanza leo tutatoa jawabu la swali ambalo wapenzi wengi wa lugha ya kingereza wamekua wakijiuliza,
KWANINI WAZUNGU HATUWAELEWI WAKIONGEA BAADHI YA MANENO KWA KINGEREZA?
Jawabu la swali hili ni rahisi tu, kwanza unatakiwa uwe na...
Utamkaji wa maneno ya kingereza unatofautiana sana katika dunia, na hii yote inatokana na kuenea kwa lugha ya kingereza duniani.
Duniani ambapo watu wake wanatofautiana tamaduni, desturi na hata lafudhi, nahii kupelekea baadhi ya maneno ya kingereza kua na utamkaji tofautitofauti.
Lakini asili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.