Pole kwa kila gumu lililokusumbua mwaka huu; kama uliumwa, uliumia, uliumizwa, uliteseka, au ulitikiswa kivyovyote hisia zako na ukadhani usingetoboa kuiona leo...POLE MNO.
Hongera kwa kutojikatia tamaa. Mbali na maumivu na changamoto zote, hujakufuru.
Hujajisusa, hujajinyonga, hujajitosa...