1. Ni Mpumbavu asiye na mfano
2. Ni Mnafiki mkubwa
3. Hajui anachokifanya (Juha)
4. Muongo na Hafai
5. Mchawi / Mshirikina
6. Anapelekeshwa kama Mwehu
7. Analazimisha umaarufu na kupendwa
Naamini kabisa kwa 99.999% Geniuses wangu akina mrangi, adriz, Extrovert, Bila bila, SAGAI GALGANO...
1. Wameshamuona hana la kufanya
2. Wameshamuona ni Mbivu
3. Wameshamuona ni mpenda Raha
4. Wameshamuona anaingilika Kiurahisi
5. Wameshamuona ni Mswahili Mswahili
6. Wameshamuona ni mbea mbea Fulani
7. Wameshamuona kuwa HANA AKILI kabisa
Je, kwako Wewe huko Mtaani Mwanamke akiombwa kuwa Kijumbe...
Tuliona ajira za afya mwishoni mwa 2024, Pia Tumeona ajira za walimu zimetoka kwa baadhi ya mikoa mfano Dar, Moro, Pwani n.k na utaratibu ni ule ule, wanakupanga popote, sio ulipoombea wala ulipo,
Kwa nini Kabla ya kutoa post za allocation za vituo kwa ajira mpya, mfano wanajua Dar, Shinyanga...
Good luck Gozbert ni kijana aliyekosa maono katika maisha yake binafsi.
Huyu jamaa anapewa Gari , anapewa Nyumba n.k ni baada ya yeye kuachana na Management yake ya mwanzo.
Kafanya Kazi nyingi sana kubwa Ila akashindwa kujijunulia Gari , akashindwa kuoa, akashindwa kujenga.
Baada ya...
1. Akikupigia simu pokea alafu subiri aanze kuongea yeye maana labda aliekupigia ni mumewe, kenge wewe
_
2. Msizoee kuingia guest moja kila mnapokutana maana watu watawachora na kutoa taarifa,
3. Mkiingia guest msiandikishe majina yenu halisia,
_
4. Ukimpigia simu akakata usipige tena labda...
1. Kufanya ibada kama ilivyo amriwa;
2. Kufanya mazoezi na kula kwa staha na kiasi kama anavyoshauri Prof. Janabi;
3. Kuchamgamkia fursa na kupiga vita umasikini na ufukara;
4. Kupunguza liabilities, mke, mchepuko na mademu kausha damu;
5. KUshiriki kikamilifu kwenye siasa, kuchagua au...
Basi kwasababu siku na uwezo wa kutimiza hiyo milion 3
Nika pambana nikaipata milion Tatu Baada ya miaka miwili ya kusave fedha nikapata wazo niende Sasa kutoa mahari lakini wakati Niko njiani mawazo yakachange roho ikasita nikawaza hivi nigharimike hela nyingi ambapo unaweza oa na wengine...
1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia saa 12 jioni baada ya kutoka shamba, acheni shobo.
2. Mje na dada wa kazi huku hakuna mtu wa kubeba mtoto wako anaye deka-deka.
3. Hakuna kuchotewa maji ya kuoga, ndoo ya maji kutoka...
Kuishinda CCM ,sio jambo dogo sababu kwanza wameshikilia dola , wana wanachama watiifu wengi ,na pesa pia .lakini wakifanya yafuatayo kwa katiba hii wanaweza shinda :-
1.Wawa hamasishe na kuwahimiza wananchi kupiga kura ,Wana CCM kwenye mitaa wanajuana na hupitiana kuhakikisha wanapiga kura ...
Nimejifunza kwamba wale ambao hawakutafuti ukiwa kimya ndio ambao huwa hawa kumiss kabisa
Na hao ambao hawa kumiss huwa hawakujali pia
Maisha yana amua nani ataingia katika maisha yako lakini wewe binafsi utaamua nani aendelee kuwepo katika maisha yako
Ukweli huwa unaumiza mara moja ila...
Ni sawa kuumia kwasababu mnakumbukumbu pamoja na mwenza wako ambazo huwezi kuzifuta mara moja na kuzisahau ghafla
Ila tambua kwamba mlipitia machungu pamoja wakati wa maisha yenu ya kimapenzi,hivyo hiyo iwe ni sababu ya kuku kumbusha kwamba,kuna wakati ambao mlishea maumivu pamoja,hivyo ni...
Nataka nikiingia kwenye ndoa niwe mtu katili kweli kweli kwenye mali zangu hata kama bado sijazipata naamini nitakuja kumiliki tena nyingi sana. Je hati za nyumba na kadi za umiliki wa magari yako, mashamba na mali zako zote wewe mwanaume mwenzangu huwa unazificha wapi? Nataka mke wangu huyo...
Utakuta baadhi ya wanaume wanahangaika kutafuta tiba, kufanya mazoezi ili kuwa na maumbile makubwa. Na bado hawafikii lengo.
Sasa wewe kama una kibamia;
kwanza: mpende mkeo/mpenzi wako kwa dhati na hakikisha nayeye anakupenda. Kuwa muungwana tu haishushi uanaume wako .
Pili: jitahidi...
Ili kuboresha sekta ya kilimo nchini Tanzania mwaka 2025, Rais anayechaguliwa anaweza kuchukua hatua kadhaa muhimu ili kuimarisha kilimo, kuongeza uzalishaji, na kuboresha maisha ya wakulima. Hapa kuna mambo muhimu ambayo Rais anapaswa kuyazingatia:
1. Kuongeza Uwekezaji katika Miundombinu ya...
1.ARUSHA
Hili ni jiji kubwa la kitalii hapa nchini na ndiyo makao makuu ya jumuiya ya afrika mashariki....pia mashindano ya AFCON yatafanyika huku.
2.KAHAMA
Mji mkubwa kwa biashara za madini hapa nchini....lakini ni kitivo cha biashara za mazao kwenda mikoa ya magharibi na nje ya nchi
3.MBEYA...
KWANZA AWALI YA YOTE NAMSHUKURU MUNGU KWA AMANI NA NEEMA ALIYOTUPA SISI KAMA TAIFA LAKINI YAFUATAYO NI MITAZAMIO YA MIAKA 5 HADI 25 NTAKAYOCHANGIA;-
1. Kulingana na mtazamo wangu miaka ijayo kutakuwa na ongezeko kubwa la watu na makazi hivyo kwa hiyo hatua inatupasa kama jamii tuzingatie hayo...
Ukatili wa kijinsia kwa watoto ni kitendo chochote anachoweza kufanyiwa mtoto na kikasababishia madhara ya kimwili, kisaikolojia na kiafya. Ukatili wa kijinsia kwa watoto unaweza kusababisha madhara mengi ikiwemo mtoto kutengwa katika jamii, mtoto mwathiriwa wa ukatili kujiua na mateso mengine...
Kukwama na kusuasua kwa maendeleo ya Tanzania yanaweza yakawa yameshikiliwa na mambo machache ambayo kama yakibadilishwa yanaweza kuchochea mabadiliko ya kimaendeleo ya kasi sana.Nchi ni mali ya watu wote kila kiongozi na raia atambue wajibu wake na kutekeleza kikamilifu. Maamuzi magumu...
VYANZO VIPYA VYA MAPATO
Kumekuwa na kodi na tozo mbalimbali ambazo zimekuwa zikiwagusa wananchi na zingine zimekuwa zikiwaumiza kutokana na kushuka thamani ya fedha ya Tanznia dhidi ya dola na hii inakuja kwasababu serikali haina vyanzo vipya vingi vya mapato vipo vile vile ambavyo kiuhalisia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.