Wakuu,
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda ameachiwa huru baada ya kushinda kesi aliyokuwa akituhumiwa ya kumlawiti Mwanafunzi wa Chuo iliyokuwa ikieneshwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi.
Dkt. Nawanda alifikishwa Mahakamani kwa mara ya kwanza Julai 9, 2024 na kusomewa...
Hapa nasikiliza video ya Binti Tumsiime anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Nawanda. Binti ameelezea kwa kina sakata zima la kulawitiwa, mpaka msukumo mzima wa kutaka kuzima kesi.
Binti Tumsiime ameelezea kuwa baada ya kufanyiwa kitendo kile, aliripoti kituo cha...
Hii kesi ya ulawiti ya Dkt Nawanda imeleta sintofahamu kubwa sana kama ukiyatazama mambo ya ulawiti na ushoga kwa jicho pana zaidi.
Watanzania karibia 99% ni watu wanaopinga sana ushoga, jambo la kushangaza katika maoni ya watu kwenye kesi ya kulawitiwa binti Tumsiime na aliyekuwa RC wa Simuyu...
Wadau mtaniwia radhi kidogo kuwa nimepitwa na wakati.
Niko nje ya nchi kwa muda sasa, na chanzo kikubwa cha habari ninachotegemea na kukiamini ni hapa JF, lakini sijaona habari yoyote ya muendelezo wa Kesi ya ulawiti ya kigogo mmoja huko Simiyu aliyekuwa RC zaidi ya habari za mwisho za...
Jeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile mwanafunzi wa chuo ambaye jina lake limehifadhiwa.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza leo, Juni 13, 2024 Naibu Kamishina wa Polisi na Kamanda wa Polisi...
Dr. Yahaya Ismail Nawanda (46), Former Simiyu RC, the alleged perpetrator of anal rape against the SAUT female student called Tumsime Mathias Ngemela
Ms. Tumsime Mathias Ngemela(21), the victim of alleged anal rape in Mwanza, on 02 June 2024.
I. Abstract
Dr. Yahaya Ismail Nawanda (46), the...
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi kama ifuatavyo:
1. Amemteua Bw. Kenan Laban Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu. Kabla ya uteuzi, Bw. Kihongosi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Momba. Bw. Kihongosi anachukua nafasi ya Dkt. Yahaya...
kenani kihongosi
maadili utumishi wa umma
mkuu wa mkoa
mkuu wa wilaya
utenguzi rc simiyu
uteuzi na utenguzi
uteuzi na utenguzi serikalini
yahayanawanda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.