Nilizaliwa Simanjiro. Baba alifariki nikiwa bado mdogo (mwaka 2003), na bahati mbaya mama naye alifariki mwaka 2005. Sina ndugu yoyote wa kuzaliwa tumbo moja, labda ingekuwa afadhali.
Mama aliwahi kunieleza kuwa baba alikuwa mzaliwa wa Nachingwea, Lindi, na alifahamika kwa jina la Yahaya...