Video iliyoachiwa na IDF ikimonyesha yahya sinwar na mke kwenye andaki, imegundulika mke wa sinwar anamiliki bag yenyewe gharama zaidi ya Tsh 82,000,000.
Kitu kimezua mjadala sana.
Chanzo cha picha,EPA
Maelezo ya picha,Viongozi wa Hamas watakutana tena kumchagua mrithi wa Yahya Sinwar
Maafisa wawili wa Hamas wameambia BBC kwamba majadiliano ya kumchagua mrithi wa kiongozi wa kundi hilo Yahya Sinwar, ambaye mauaji yake yalithibitishwa siku ya Alhamisi wiki jana, yataanza...
Wadau hamjamboni nyote?
Jeshi la Israel limetangaza kuwa msako wa Mohamed Sinwar ambaye ni kaka wa Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hamas aliyeuawa jana unaendelea kwa kasi kubwa.
Taarifa zaidi kumuhusu Mohamed Sinwar hapo chini kwa kimombo:
Pia soma > Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa...
Wadau hamjamboni nyote?
Tumeshuhudia baadhi ya nchi duniani zikitoa matamko au misimamo yao kufuatia kifo cha aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hamas Yahys Sinwar.
Kwa mfano Rais Joe Biden alitoa kauli ifuatayo: "Hii ni siku nzuri kwa Israel, Marekani na Dunia nzima"
"This is a good day...
Wakuu,
IDF wametoa a brand new video inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho kabla hajafariki, ni video ambayo inaibua maswali mengi sana ukiitazama kwa umakini.
Kwenye video hii, Sinwar anaonekana akiwa ameumia mkono na anajificha ficha kwenye makochi na huko mwishoni...
Wakuu,
Inaonekana Kamala Harris leo atafanya sherehe kwani muda mchache uliopita ametoa tamko mara baada ya kiongozi wa Hamas Yahaya Sinwar kuuwawa.
Katika tamko lake Kamala amesema kuwa dunia itakuwa ni sehemu nzuri zaidi ya kuishi mara baada ya Sinwar kuuwawa.
Nasubiri kuona kama Trump...
Kiongozi wa kundi la Hamas Yahya Sinwar, ameuawa na Israel.
Duru za habari zinatabanaisha Sinwar aliuawa mapema usiku wa leo huko Gaza.
---
Senior U.S. Officials, including President Joe Biden, have been notified by Israeli Officials that Yahya Sinwar, the Leader of Hamas, was likely...
Kiongozi mkuu wa Hamas,ndugu Yahya Sinwar ametoa pongezi kwa viongozi wa Hizbullah ya nchini Lebanon kutokana na kuwaunga mkono wapalestina kwa njia ya kuwashambulia Israel bila kuchoka.
Pongezi hizo zilitumwa kwa njia ya barua na kuwekwa wazi na vyombo vya habari vya Lebanon ni jibu la barua...
Kwa mara nyengine Marekani imeshindwa kuficha unafiki na nia zake mbaya katika vita vya Gaza.
Wakati kuna kesi na hukumu za mahakam za kimataifa za uhalifu ICC kwa ajili ya Israel na ambazo hazijatekelezwa, badala yake Marekani hiyo imeanzisha mashtaka kwa kiongozi wa Hamas, Yahya Sinwar ambaye...
Waswahili wanasema uongozi ni karama. Huyu bwana sinwari anaonekana si wa mchezo mchezo.
Kwanza kaongoza Hamas tawi la kijeshi kuanzia Oktober 7 mpaka Leo. Israel anauwa Lebanon , Syria , Iraq, Iran na Yemen lakini wamemshindwa mwanaume yupo Gaza Km 30 kutoka boda ya Israel na Palestine...
Jana Yahya Sinwar ameondoka Gaza akiwa amevaa Hijab
---
Hamas leader Yahya Sinwar has been hiding among Palestinians “dressed as a woman” after abandoning Gaza’s terror tunnels, Israeli intelligence sources said last night.
The architect of the October 7 atrocities was already a target on...
Je, unajua hadithi iliyo nyuma ya picha hii ya kitambo?
Mnamo Mei 16, 2021, utawala wa Israel ulishambulia kwa bomu nyumba ya Yahya Sinwar iliyoko Khan Yunis, kwa nia ya kumuua. Vyombo vya habari vya Kiebrania viliripoti kwa ujasiri kwamba misheni hiyo ilifanikiwa na kwamba walikuwa wamemwondoa...
MODS: Mumeharibu uzi wangu kwa kuchanganya na habari za uwongo. Narudia ku-post upya. Tafadhali uacheni.
Yahya Sinwar ameteuliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Hamas kumrithi Ismail Haniyeh aliyeuliwa majuzi akiwa Iran na mazishi yake yalifanyika Qatar.
Yahya Sinwar ndiye aliyepanga na kuratibu mauaji...
Israel Mossad wanajua vizuri Yahya Sinwar alipo movements zake lakini kamwe hawataweza kuua na kumuangamiza kwasababu kazungukwa na mateka wayahudi hasa watoto na wanawake.
Sinwar ni intelligent sana kwa njia hiyo kashaishi na wateule nakujua udhaifu wao.
Anajua wazi hawawezi kumshambulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.