yahya sinwar

Yahya Ibrahim Hassan Sinwar (Arabic: يحيى ابراهيم حسن السنوار, romanized: Yaḥyá Ibrāhīm Ḥassān al-Sanwār; born 29 October 1962), better known as Yahya Sinwar, is a Palestinian politician who has been leader of Hamas within the Gaza Strip since 2017. Hamas is the Sunni Islamist political and military organization that rules the Gaza Strip.
Sinwar was born in the Khan Yunis refugee camp in Egyptian-ruled Gaza in 1962 to a family who had been expelled or fled from Ashkelon during the 1948 Palestine War. He finished his studies at the Islamic University of Gaza where he received a bachelor's degree in Arabic Studies.
For orchestrating the abduction and killing of two Israeli soldiers and four Palestinians he considered to be collaborators in 1989, Sinwar was sentenced to four life sentences by Israel, of which he served 22 years until his release among 1,026 others in a 2011 prisoner exchange for Israeli soldier Gilad Shalit. Sinwar was one of the co-founders of the security apparatus of Hamas. In 2017, he was elected the leader of Hamas, and claimed to pursue "peaceful, popular resistance" to the Israeli occupation the following year. He was re-elected as the leader of Hamas in 2021, and was subject to an assassination attempt by Israel that year. Sinwar is regarded as the mastermind behind the 2023 Hamas-led attack on Israel on 7 October 2023.
In September 2015, Sinwar was designated a terrorist by the United States government. Hamas and the Izz ad-Din al-Qassam Brigades have been designated terrorist organisations by the United States, by the European Union, and by other countries. In May 2024, Karim Khan, the prosecutor of the International Criminal Court, announced his intention to apply for an arrest warrant for Sinwar for war crimes and crimes against humanity, as part of the ICC investigation in Palestine.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Mke wa yahya sinwar anamiliki handbag la gharama ya $32,000.

    Video iliyoachiwa na IDF ikimonyesha yahya sinwar na mke kwenye andaki, imegundulika mke wa sinwar anamiliki bag yenyewe gharama zaidi ya Tsh 82,000,000. Kitu kimezua mjadala sana.
  2. Nani ataiongoza Hamas baada ya kuuawa kwa Yahya Sinwar?

    Chanzo cha picha,EPA Maelezo ya picha,Viongozi wa Hamas watakutana tena kumchagua mrithi wa Yahya Sinwar Maafisa wawili wa Hamas wameambia BBC kwamba majadiliano ya kumchagua mrithi wa kiongozi wa kundi hilo Yahya Sinwar, ambaye mauaji yake yalithibitishwa siku ya Alhamisi wiki jana, yataanza...
  3. U

    Jeshi la Israel latangaza msako mkali wa Mohamed Sinwar ambaye ni kaka wa Kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar aliyeuawa Oktoba 17, 2024 Gaza

    Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel limetangaza kuwa msako wa Mohamed Sinwar ambaye ni kaka wa Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hamas aliyeuawa jana unaendelea kwa kasi kubwa. Taarifa zaidi kumuhusu Mohamed Sinwar hapo chini kwa kimombo: Pia soma > Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa...
  4. U

    Ni ipi kauli au msimamo rasmi wa Serikali ya Tanzania kufuatia kifo cha aliyekuwa Kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar?

    Wadau hamjamboni nyote? Tumeshuhudia baadhi ya nchi duniani zikitoa matamko au misimamo yao kufuatia kifo cha aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hamas Yahys Sinwar. Kwa mfano Rais Joe Biden alitoa kauli ifuatayo: "Hii ni siku nzuri kwa Israel, Marekani na Dunia nzima" "This is a good day...
  5. Israel yaachia video mpya inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho akiwa ameumia na anajificha kwenye makochi!

    Wakuu, IDF wametoa a brand new video inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho kabla hajafariki, ni video ambayo inaibua maswali mengi sana ukiitazama kwa umakini. Kwenye video hii, Sinwar anaonekana akiwa ameumia mkono na anajificha ficha kwenye makochi na huko mwishoni...
  6. Kamala Harris asheherekea kifo cha Yahya Sinwar. Asema Marekani na dunia itakuwa sehemu salama zaidi bila uwepo wake!

    Wakuu, Inaonekana Kamala Harris leo atafanya sherehe kwani muda mchache uliopita ametoa tamko mara baada ya kiongozi wa Hamas Yahaya Sinwar kuuwawa. Katika tamko lake Kamala amesema kuwa dunia itakuwa ni sehemu nzuri zaidi ya kuishi mara baada ya Sinwar kuuwawa. Nasubiri kuona kama Trump...
  7. Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

    Kiongozi wa kundi la Hamas Yahya Sinwar, ameuawa na Israel. Duru za habari zinatabanaisha Sinwar aliuawa mapema usiku wa leo huko Gaza. --- Senior U.S. Officials, including President Joe Biden, have been notified by Israeli Officials that Yahya Sinwar, the Leader of Hamas, was likely...
  8. Yahya Sinwar aipongeza Lebanon kwa moyo wao wa upendo kwa wapalestina kwa njia ya kupigana na Israel

    Kiongozi mkuu wa Hamas,ndugu Yahya Sinwar ametoa pongezi kwa viongozi wa Hizbullah ya nchini Lebanon kutokana na kuwaunga mkono wapalestina kwa njia ya kuwashambulia Israel bila kuchoka. Pongezi hizo zilitumwa kwa njia ya barua na kuwekwa wazi na vyombo vya habari vya Lebanon ni jibu la barua...
  9. Marekani yamshtaki Kiongozi wa Hamas, Yahya Sinwar

    Kwa mara nyengine Marekani imeshindwa kuficha unafiki na nia zake mbaya katika vita vya Gaza. Wakati kuna kesi na hukumu za mahakam za kimataifa za uhalifu ICC kwa ajili ya Israel na ambazo hazijatekelezwa, badala yake Marekani hiyo imeanzisha mashtaka kwa kiongozi wa Hamas, Yahya Sinwar ambaye...
  10. Baada ya Yahya Sinwar kuteuliwa kuiongoza Hamas, Israel inapata tabu sana

    Waswahili wanasema uongozi ni karama. Huyu bwana sinwari anaonekana si wa mchezo mchezo. Kwanza kaongoza Hamas tawi la kijeshi kuanzia Oktober 7 mpaka Leo. Israel anauwa Lebanon , Syria , Iraq, Iran na Yemen lakini wamemshindwa mwanaume yupo Gaza Km 30 kutoka boda ya Israel na Palestine...
  11. Kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar aondoka Gaza akiwa amevaa kama Mwanamke

    Jana Yahya Sinwar ameondoka Gaza akiwa amevaa Hijab --- Hamas leader Yahya Sinwar has been hiding among Palestinians “dressed as a woman” after abandoning Gaza’s terror tunnels, Israeli intelligence sources said last night. The architect of the October 7 atrocities was already a target on...
  12. Yahya Sinwar, kiongozi wa HAMAS

    Je, unajua hadithi iliyo nyuma ya picha hii ya kitambo? Mnamo Mei 16, 2021, utawala wa Israel ulishambulia kwa bomu nyumba ya Yahya Sinwar iliyoko Khan Yunis, kwa nia ya kumuua. Vyombo vya habari vya Kiebrania viliripoti kwa ujasiri kwamba misheni hiyo ilifanikiwa na kwamba walikuwa wamemwondoa...
  13. Yahya Sinwar: Huyu Ndiye Kiongozi Mpya wa Hamas

    MODS: Mumeharibu uzi wangu kwa kuchanganya na habari za uwongo. Narudia ku-post upya. Tafadhali uacheni. Yahya Sinwar ameteuliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Hamas kumrithi Ismail Haniyeh aliyeuliwa majuzi akiwa Iran na mazishi yake yalifanyika Qatar. Yahya Sinwar ndiye aliyepanga na kuratibu mauaji...
  14. Mossad kamwe haitawahi kumuua Sinwar

    Israel Mossad wanajua vizuri Yahya Sinwar alipo movements zake lakini kamwe hawataweza kuua na kumuangamiza kwasababu kazungukwa na mateka wayahudi hasa watoto na wanawake. Sinwar ni intelligent sana kwa njia hiyo kashaishi na wateule nakujua udhaifu wao. Anajua wazi hawawezi kumshambulia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…