WHO yaidhinisha chanjo ya Moderna kwa matumizi ya dharura
Shirika la Afya Ulimwenguni, WHO, limeidhinisha kwa matumizi ya dharura chanjo dhidi ya COVID-19 ya Moderna. Chanjo hiyo ya mRNA ya Marekani inaungana na chanjo za AstraZeneca, Pfizer-BioNTech na Johnson & Johnson kupitishwa katika...