yajibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO Wananchi Saranga Ubungo (Dar es Salaam) walia uhaba wa Maji, wadai ndoa zao ziko hatarini sababu muda mwingi wanautumia kutafuta maji

    Wananchi wa Mtaa wa Saranga Mpakani, Wilaya ya Ubungo, wameiomba serikali kuwapatia huduma ya maji na kuondokana na changamoto hiyo iliyodumu kwa muda mrefu. Wakizungumza mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Lazaro Twange, wananchi hao wamelalamika kutokuwepo kwa huduma hiyo na kutegemea maji ya...
  2. X

    Baada ya China kujenga bandari kubwa na ya kisasa nchini Peru nayo Marekani yajibu. Kwa sasa China ndiyo taifa lenye ushawishi mkubwa Amerika Kusini

    Chancay port ni bandari ya kisasa iliyojengwa na kampuni ya China COSCO kama project ya BRI. Imezinduliwa 17th Nov 2024 na Xi na raisi wa Peru Ni smart port au full automated port kila kitu kinafanywa na mitambo au mashine na ndio smart port pekee barani humo. Robotic megaport that operates...
  3. M

    Israel yajibu shambulio Iran

    Jeshi la ulinzi la israel limefanya shambulio la angani lililolenga Kamanda wa Hezbollah mjini beirut kufuatia shambulio lililosababisha vifo vya watoto wengi katika eneo la Golan heights eneo linalokaliwa na israel ambapo Hesbollah wamekanusha kufanya shambulio hilo. kupitia ukurasa wao wa X...
  4. Picha ya Addis Ababa, Ethiopia July 8, 1990 yajibu hoja ya MBOWE juu ya Rais Samia na Kikwete

    Addis Ababa, Ethiopia July 8, 1990. Rais Mwinyi akiwa na Rais mstaafu Mwalimu Nyerere na waziri wa mabo ya nchi za nje Mkapa. Hoja ya Mbowe na CHADEMA kweney maandamano Arusha inakosa nguvu kabisa , ni ya hovyo, na chuki binafsi. Picha kwa hisani ya maktaba ya Salim Ahmed Salim Digital...
  5. TRC yajibu madai kuwa kuna uhaba wa Mafuta ya Dizeli kwenye Mradi wa SRG

    Baada ya memba wa JamiiForums kudai kuwa kuna changamoto ya kukosekana kwa mafuta ya Dizeli kwenye Mradi wa Reli ya SGR, Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa ufafanuzi. Kusoma malalamiko yenyewe ni haya - Mkandarasi wa Reli ya SGR ameishiwa Mafuta ya Diesel, Mradi umesimama, hatufanyi...
  6. Lissu alipuka kuhusu Usafirishaji Wanyama Nje ya Nchi, Serikali yajibu mapigo

    Kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa Serikali imekuwa ikiruhusu usafirishaji wa wanyama kwenda nje ya nchi tangu mwaka 1985, imeiibua Wizara ya Maliasili na Utalii ikisema hairuhusiwi mtu yeyote kusafirisha wanyama. Akizungumza kwa simu na Mwananchi, Katibu Mkuu wa Wizara ya...
  7. CHADEMA yajibu mapigo ya Vyama 14 kuhusu kikosi kazi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema njaa iliyopitiliza, kutumika na kukosa dira ya masuala ya kitaifa ni sababu ya baadhi ya vyama vya upinzani kupinga msimamo uliotolewa na chama hicho juu ya ripoti ya Kikosi Kazi. Oktoba 23 mwaka huu, muungano wa vyama 14 vya upinzani ulitoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…