yajue

Zhang Yajue (born 2000) is a Chinese sprint canoeist.She won a medal at the 2019 ICF Canoe Sprint World Championships.

View More On Wikipedia.org
  1. Yajue maajabu 20 ya maisha ya "walokole"

    Hapa duniani kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana. Watu hao ni wale wanaokiri kwamba wametubu dhambi zao, wanaamini kuwa Yesu ni Bwana, na wanaishi maisha matakatifu. Wanaowabeza na kuwadharau watu hao huwaita “walokole.” Haya ndiyo maajabu 20 ya maisha ya “walokole:” Hawalogeki. Wachawi...
  2. Yajue Maslahi manononya MAJAJI Tanzania

    Ukiwa jaji umeula hadi kifo. Yafuatayo NI maslahi ya Majaji wa Mahakama Juu na Rufaa nchini. 1. Kulipiwa nyumba Grade A, 2. Usafiri (4WD/dereva/mlinzi), 3. Kusafiri daraja la biashara/Kwanza kwenye ndege, 4. Posho ya mavazi. NB: pamoja na yote haya bado wapo wanachukuav rushwa...
  3. H

    Yajue Magari ya Hybrid

    Magari ya Hybrid: Uzi huu ni maalum kwa Wasiojua Magari ya hybrid wapate kuyafahamu Katika ulimwengu wa magari, teknolojia ya hybrid imekuwa moja ya mabadiliko makubwa ya karne ya 21. Lakini hybrid ni nini hasa? Hebu tuchambue kwa urahisi, hatua kwa hatua, ili kila mtu aweze kuelewa. Hybrid ni...
  4. Yajue baadhi ya mambo ya Upagani yaliyoingizwa na kufuatawa katika Ukristo.

    Bila kupoteza muda... Hapa kuna baadhi ya mafundisho ya kipagani ambayo yamekuwa yakihusishwa na Ukristo kutokana na mchanganyiko wa tamaduni za kipagani na imani za Kikristo kupitia historia. Mafundisho haya mara nyingi yamechukuliwa kutoka katika dini za kipagani na kuingizwa katika taratibu...
  5. Yajue Maisha yalivyo jela

    Habari gani wakuu Maisha changa Moto na Katika kuzitatua nikajikuta nimevuka mstari mwekundu na kujikuta nipo police station Baada ya kushindana na wale bwana wazee wa nguo za kaki kwenye maswala ya pasu wakaapa kuni fanyia siyo Nakumbuka mmoja wao akasema Sasa kwasababu wewe ni mtata...
  6. Yajue mambo 14 ya busara

    Mhadhara - 44: Mnamo Oktoba 1, 2024 niliwaletea MAMBO 13 YA BUSARA. Leo nawaongezea mambo mengine kumi na nne (14) ya busara ambayo yataongeza au yatalinda heshima, thamani na utu wako. Ikumbukwe kuwa watu pia ni mtaji wa kujipata kimaisha. MAMBO 14 YA BUSARA: 1. Acha tabia ya kucheuwa ovyo...
  7. Yajue matiti ya Mwanamke na hulka zao

    Zujuie chuchu za Mwanamke ! ✍️Dr. William - Maziwa ya mwanamke ni futa futa za nyama ambazo zina wingi wa mishipa ya damu. - Uhai wa maisha ya mwanamke upo kwenye maziwa yake, hivyo piga pengine ila sio kwenye maziwa yake. Maziwa ya mwanamke ndio husaidia mwanamke kukimbia zaidu, kama...
  8. Yajue matumizi ya "When" na "While" katika lugha ya kingereza

    JE TUNATUMIA “WHEN” AU “WHILE”? IPI TOFAUTI KATI YA “WHILE” NA “WHEN”? JIFUNZE HAPA. Katika post hii tunaenda kujifunza matumizi ya maneno “when” na “while” ambayo yanatumika kuelezea matukio mawili yaliyotokea kwa pamoja. Tutaangalia tofauti zake, kwa maana ni wakati upi utumie “when”, na...
  9. Yajue ya Tanga Mjini na maajabu yake

    1 - Saa 3 usiku hakuna daladala barabarani. 2- Saa 4 usiku huoni watu nje na usiulize kwanini. Jiongeze bro! 3- Ugali wa 1500 unapata mboga 7, usisahau uono (dagaa mchele) buree. 4- Ndio jiji lenye baiskeli za kukodi kama bodaboda na kiti chenye sponji. 5- Disco wanapiga taarabu. 6- Hakuna...
  10. Yajue mataifa yaliyokataza matumizi ya VPN duniani na sababu zao

    VPN(Virtual Private Network) huwa inaficha utambulisho wa vifaa vya mtandaO(IP address) na kuimarisha hata usalama wa mtumiaji kuingiliwa mawasiliano yako na mtu mwenye nia ovu. Serikali nyingi duniani hazijakataza matumizi ya VPN ikiwemo Ulaya na Marekani lakini zipo Serikali chache zimeweka...
  11. Maendeleo/ Furaha Yako Ni Zao La Unaotumia Nao Muda Mwingi. Yajue Haya Na Uchukue Hatua

    Haijalishi unajishawishi kichwani kiasi gani kwamba we ni wa tofauti. Haijalishi unajiona we ni wa tofauti na unaotumia nao muda mwingi. Lazima mwisho wa siku uwe kama wao, kama unavoendelea kuwa nao. Sababu binadamu tumeumbwa kufanana na watu wetu wa karibu. Ndo mana utasikia familia ile...
  12. SoC03 Maendeleo/ Furaha yako ni zao la unaotumia nao muda mwingi. Yajue haya na uchukue hatua

    Haijalishi unajishawishi kichwani kiasi gani kwamba we ni wa tofauti. Haijalishi unajiona we ni wa tofauti na unaotumia nao muda mwingi. Lazima mwisho wa siku uwe kama wao, kama unavoendelea kuwa nao. Sababu binadamu tumeumbwa kufanana na watu wetu wa karibu. Ndo mana utasikia familia ile ipo...
  13. Simulizi Maalum za IKULU (Mwinyi, Kikwete, Mama Maria Nyerere...)

    Abdalla Mohamed Tambaza akielezea simulizi kutoka kwa Familia iliyotoa ardhi kujenga Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam. Simulizi kutoka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi Simulizi kutoka kwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Abdalla Mohamed Tambaza...
  14. Yajue haya kuhusu sisi wapare mengine yakishujaa mengine yakusikitisha !

    1. Eneo linaloitwa kavambughu. Hapa tuliwapiga wambugu kwenye vita na eneo hili lipo mpaka leo. 2. Eneo linaloitwa Nkhoma ya mkwavi au fuvu la mmasai. Hapa wamasai walituvamia ikapigwa vita kubwa tukawauwa wote tukashinda vita na eneo hili lingalipo mpaka leo. 3. Jiwe la mkumbavana. Hili ni...
  15. Yajue magari 6 ya kifahari yaliyotumiwa na Mwalimu Nyerere

    Makumbusho ya Taifa Dar es Salaam, imehifadhi magari 6 yaliyotumiwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, wakati wa uhai wake, likiwemo gari ambalo lilitumika katika awamu tatu za uongozi. Mhifadhi wa Makumbusho, Pius Gondeka amesema magari yote kila moja lina historia yake, likiwemo gari aina...
  16. SoC02 Yajue magonjwa ya afya ya akili katika kupata hisia

    Paraphilias Hii ni tatizo ambalo mtu anapata hisia za KIMAPENZI kwa kupitia vitu ambavyo sio binadamu,kwakuumizwa au kuumiza na kwa watoto Aina za paraphilias. 1 fetishistic Hili ni tatizo la kihisia ambalo mtu anapata hisia za KIMAPENZI pale tu kwakutumia vitu ambavyo sio binadamu mfano...
  17. Yajue madhara ya kutumia Maji kwenye Radiator [Rejeta]

    Kumiliki gari na kumaintain gari ni vitu viwili tofauti, ndo maana unaweza kuta mtu ananunua gari kwa furaha anafanya na sherehe mambo ya maintenance yakianza inakua balaa.. . Unaanza kuona gari kama JINI Kabula, Sasa Leo nataka tuguse kidogo issue ya kutumia maji ya Bomba [tap water]katika...
  18. Yajue Mamlaka (Jurisdiction) ya Mahakama ya Mwanzo (Primary Court)

    Hello, naitwa Zakaria (lawyer by profession).🎓 Leo napenda tujifunze kuhusu MAMLAKA YA MAHAKAMA ya Mwanzo (Primary Court). Kwa ufupi, Mahakama ya mwanzo ni Mahakama ya chini kabisa katika mfumo wa Mahakama nchini Tanzania. Mahakama hii imeanzishwa kwa mujibu wa section 3 ya sheria ya Mahakama...
  19. L

    Yajue maneno ya kibiashara na maana zake

    BOOKKEEPING TERMS. Tumesema bookkeeping sio kwaajili ya wafanya biashara tu, hata mtu binafsi anaweza kuweka rekodi zake kutokana na shughuli zake za kila siku. Sasa kuna maneno madogo dogo ya msingi ambayo yanatumika sana na wahasibu. 1. ACCOUNTING PERIOD Hiki ni kipindi ambacho kampuni au...
  20. Yajue mambo matano (5) yanayoweza kufanya kampuni yako ifutwe na mamlaka nchini Tanzania

    Mnamo mwaka 2019 Tanzania ilifanya marekebisho ya sheria yake ya Makampuni ya mwaka 2002 na kuleta mambo kadhaa mapya. Marekebisho hayo yaliletwa na sheria ya “The written laws (Miscellaneous Amendments) (No.3) Act, 2019" Kifungu cha 10 cha sheria hii kilileta kifungu kipya cha 400A katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…