Wakati ikiwa na uhitaji wa chupa 150 za damu kwa siku, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imekua ikikusanya chupa 35 mpaka 60 pekee hali inayochangia uwepo wa uhaba wa damu hospitalini hapo.
Makundi yaliyotajwa kuwa hatarini zaidi ni yale yenye idadi ndogo ya watu yaani asilimia 1 ya Watanzania...
Mataifa kadhaa ya kiafrika yakabiliwa na upungufu wa dola ya Marekani hali ambayo inapelekea kupanda kwa gharama za maisha katika mataifa hayo.
Mataifa kama Kenya, Misri, Ghana, Nigeria, Zambia na Zimbabwe ni mifano ya hayo yanayokabiliwa na upungufu huo...
Taasisi ya Saratani ya Ocean Road iliyopo jijini Dar es Salaam inakabiliwa na uhitaji wa matiti bandia kwa ajili ya kusaidia akina mama wenye saratani ya matiti ambao wengi wao wamekuwa wakikatwa titi na hivyo kuhitaji titi bandia ili wawe na mwonekano mzuri.
Hayo yameelezwa leo jijini Dar es...
Wataalamu nchini Sudan wameonya kuwa mwaka huu nchi hiyo inakabiliwa na ukosefu mkubwa wa chakula au hata kuwa mgogoro wa chakula, na idadi ya watu wanaoathiriwa na njaa inaweza kuongezeka na kufikia milioni 18 ambayo ni asilimia 45 ya jumla ya watu wa nchi hiyo.
Mchumi wa Sudan Bw...
Nchi ya China ambayo ndio nchi ya pili kwa uchumi mkubwa imekumbwa na ukosefu mkubwa wa umeme kiasi cha kulazimika kuzima mpaka taa za barabarani kwa baadhi ya miji yake mikubwa
Hali hii inasadikiwa kusababishwa na ongezeko kubwa la bei ya makaa ya mawe & upungufu mkubwa wa maji kwenye mabwawa...
Baada ya Serikali kupunguza kulipia umeme Hadi 27,000 tanesco kwenye baadhi ya mikoa ,limeibuka tatizo la kukoseka kwa watumishi wanaojulikana kama ' surveyor, mfano kule Kilimanjaro ofisi ya tanesco mkoa ,kuna surveyor wawili, anaohudumia ofisi ya mkoa . Hii imechangia kuongezeka kwa...
Shule ya msingi Mandera iliyopo kata ya Mswaha wilayani Korogwe mkoani Tanga inakabiliwa na uchakavu mkubwa wa majengo ikiwemo vyumba vya madarasa na nyumba za walimu hali inayo watia hofu walimu wanaofundisha katika shule hiyo.
Akizungumza na ITV Afisa elimu wa kata amesema uchakavu wa shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.