yakamata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) yakamata Kilogramu 2,327,983.66 za Dawa za Kulevya 2024, idadi ambayo haijawahi kufikiwa

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) yakamata Kilogramu 2,327,983.66 za Dawa za Kulevya 2024, idadi ambayo haijawahi kufikiwa tangu kuanza kwa mapambano haya nchini. Dawa zilizokamatwa zilijumuisha bangi aina ya skanka na hashishi, methamphetamine, heroin, na dawa tiba...
  2. DCEA yakamata Kilogramu 54,506.553 za Dawa za kulevya

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama pamoja na wakala wa misitu (TFS) imefanya operesheni katika mikoa ya Shinyanga, Tabora, Iringa, Mbeya, Arusha na Dar es Salaam na kufanikiwa kukamata jumla ya Kilogramu 54,506.553...
  3. I

    Serikali nchini Iran yakamata vijana 10 kwa kushangilia timu yao ya taifa kufungwa

    Mamlaka nchini Iran inawashikilia takriban vijana 10 wa kiume kwa "kuonyesha furaha" kutokana na timu yao ya taifa kufungwa hivi majuzi na timu ya taifa ya Qatar katika michuano ya soka. Shirika la kutetea haki za binadamu lenye makao yake makuu nchini Norway lilisema Jumatatu...
  4. Oman yakamata drones zilizokua zinapelekwa Yemen kutokea UAE

    Hizi habari zinanichanganya, mbwa kala mbwa au mwenye uelewa wa hawa watu atusaidie, iweje Oman huko huko wakamate drones zinazopelekwa Yemen kutokea UAE, si wote kitu kimoja? ===== Omani customs authorities seized a shipment of drones hidden in a truck from the UAE heading for Yemen on 10...
  5. LATRA yakamata mabasi yanayochezea mifumo ya usalama Mkoani Arusha

    Baadhi ya wahusika wa mabasi ya abiria wanaochezea mifumo ya usalama na mwendo katika mabasi wamenaswa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Mkoa wa Arusha. Afisa Mfawidhi wa LATRA Mkoa wa Arusha, Joseph Michael ameongoza zoezi la ukaguzi katika maeneo tofauti katika maegesho ya magari...
  6. Uturuki yakamata magaidi wa Islamic State (Dola ya Kiislamu)

    Mbwa kala mbwa........... === Turkish authorities have detained 29 people suspected of having ties to terrorist group Islamic State in operations across nine provinces, Interior Minister Ali Yerlikaya said on Friday. Suspects captured in "Operation Heroes-37" on Friday were planning to attack...
  7. Meli ya Israel yatekwa Yemen

    Meli ya Israel imetekwa na Wapiganaji wa Houthi ikiwa na ma baharia wa Kijapani, hii imefuatia tangazo la hivi majuzi kuionya Israel kua meli zake zote zitalipuliwa zikikatisha Yemen [emoji779] [emoji1267][emoji1134]Israeli Ship Seizure Update Israeli media confirmed that Houthis attacked a...
  8. Israel yakamata majengo yote yaliyokua yanatumiwa kama makao ya serikali ya HAMAS

    Hawa mazombi walikua na serikali kabisa ikiwemo makao makuu ya polisi, ila wamepoteza kila kitu sasa wamekusanyika kwenye hospitali ndio kete yao ya mwisho, na huko huko Israel imesema inapiga tu hamna nini wala nini.... ==================== The IDF on Tuesday announced that it had captured a...
  9. DCEA yakamata kilo 423.54 za skanka, 16 watiwa mbaroni

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya (DCEA) imekamata kilogramu 423.54 za bangi iliyosindikwa inayofahamika kama skanka katika operesheni maalum zilizofanyika kwenye mipaka na fukwe za Bahari ya Hindi. Mbali na dawa hizo za kulevya, mamlaka pia imewakamata watu 16 wanaojihusisha...
  10. Iran yakamata meli ya mafuta yenye bendera ya Tanzania kwa madai ya kusafirisha mafuta kwa njia ya magendo

    Iran seizes Tanzania-flagged tanker for alleged oil smuggling Iran has seized two oil tankers allegedly carrying smuggled fuel in the Gulf and arrested their crews, state television announced on Friday. "The Revolutionary Guards naval forces seized two ships over the course of the last two...
  11. Meli inayopeperusha bendera ya Tanzania na Panama yakamatwa Irani kwa magendo ya mafuta

    Serikali ya Iran imetangaza kukamatwa kwa meli iliyosheheni mafuta ya magèndo inayopeperusha benders ya Tanzania. Ni wakati muafaka kufahamu ni nani yupo nyuma ya haya magendo kulinda taswira ya nchi kimataifa na kulinda biashara ya mafuta hapa nchini. --- Iran has seized two oil tankers...
  12. Tabora: EWURA yakamata Malori ya mafuta yaliyofichwa kwenye Kituo cha mafuta cha GBP

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Magharibi imefanikiwa kukamata malori matatu ya mafuta ya Dizeli na Petrol yaliyokuwa yamefichwa kwenye Kituo kimoja cha mafuta cha GBP Mjini Tabora. Inadaiwa kuwa yalikuwa kwenye mkakati wa kucheleweshwa wa lengo la kutengeneza...
  13. NHIF yakamata kadi 1,346 zinazotumika na wasio wanachama wake

    Kumbe si kila anayekwenda hospitali na kadi ya bima ya afya ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kupata huduma ni mwanachama wa mfuko huo. Wapo wanaofanya janjajanja ya kuazima kadi za wanachama na hatimaye kwenda kupata huduma ilhali si stahiki yao. Hilo linathibitishwa leo Jumanne Julai...
  14. DCEA yakamata Dawa za Kulevya aina ya Heroin ambazo zingeathiri Watu milioni 4.8

    Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo amesoma ripoti ya Operesheni iliyofanywa na mamlaka hiyo kuanzia Machi 25, 2023 hadi Juni 19, 2023 ikiwa ni takribani miezi miwili na wiki tatu ambapo amefafanua mambo mbalimbali kuhusu uhalifu wa dawa za...
  15. Mahakama yakamata Nyumba na Yacht, mali za Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea

    Nyumba 2 na Jahazi (Super Yacht) 1, mali za Teodoro Nguema Obiang zimewekwa chini ya Ulinzi kwa agizo la Mahakama baada ya Mfanyabiashara Daniel Janse Van Rensburg kudai Kiongozi huyo alimkamata kinyume cha Sheria na kumtesa. Mfanyabiashara huyo anataka kulipwa fidia ya Tsh. Bilioni 5.1...
  16. Bongo Nyoso: Lori la mradi wa SGR lamakatwa likitafutiwa mteja ili liizwe

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekamata gari aina ya HOWO tani 12 lenye thamani ya Sh180 milioni likiwa katika harakati za kutafutiwa mteja ili liuzwe mkoani Tabora. Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Blasius Chatanda aliyoitoa kwa waandishi wa habari leo Februari 6, 2023, inaeleza...
  17. TBS yakamata Mabati 125,280 yasiyokidhi viwango, zoezi la kuyateketeza laingia doa

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeiandikia barua kampuni ya uagizaji na usambazaji wa mabati nchini URHOME Company Limited kuhakikisha ndani ya siku tatu imewapatia taarifa ya mabati 2176 kati 125,280 baada ya kufanyiwa ukaguzi na kugundulika hayajakidhi viwango. Akizungumza na waandishi wa...
  18. S

    Urusi yakamata shehena ya drones za Marekani, American Kamikaze drones switchblade: "Tutazitumia kuangamiza magarivita na vifaru vya Ukraine"

    Majeshi ya Russia yamekamata shehena ya droni za Marekani (American Kamikaze drones switchblade) zilizopelekwa na Marekani kuisaidia Ukraine. Russia imetoa picha za drones hizo, mzigo ukiwa mpyaa toka kwenye mabosi yake, na imesema ndugu watazamaji tutegemee kuona video motomoto hivi karibuni...
  19. TABORA: Watu 9 wakamatwa kwa tuhuma za mauaji na kuuza viungo vya binadamu, damu ya mtu inauzwa Tsh 600,000

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limekamata mtandao wa watu 9 ambao wametajwa kuhusika na tuhuma za mauaji pamoja na kuendesha biashara ya mauziano ya viungo mbalimbali vya sehemu ya mwili wa binadamu. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora, ACP. RICHARD ABWAO amesema mtandao huo umekamatwa...
  20. Uganda yakamata washukiwa wa ugaidi huku wengine 7 wakiuawa

    Uganda inasema kwamba washukiwa saba wameuwawa na wengine 106 wanashikiliwa kutokana na matukio ya kigaidi. Hayo yametokea wakati wa oparesheni iliyofanywa na vikosi vya usalama wakihusishwa na washukiwa watatu wa mabomu ya kujitoa muhanga katika mji mkuu Kampala wiki iliyopita, kwa mujibu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…