Kamanda wa Uhifadhi wa Kanda ya Magharibi kutoka Mamlaka ya ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania(TAWA) Bigilamungu Kagoma akionyesha jana bunduki aina ya SMG ilikamatwa hivi karibuni katika doria ya kusaka majangili kwenye mapori ya akiba mbalimbali wakati wa mkutano na waandishi wa habari...