yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. Wanaojua Bei za kuwalipa ma tiktoker kukutangazia biashara yako watujuze🙏

    Habarini wakuu! Nina App yangu nahitaji kuitangaza hivyo wale ambao wameshatumia ma influencer wa tz, nilikua naomba mnisanue bei zao nijipange. sihitaji wabashiriji🤣. Naanza mimi kusanua "Mr Everything Tsh 170k, many Tech ppl Tsh 120K+........... Anaejua zakina kiredio, stivu, etc........ aweke...
  2. Adui wa adui yako ni rafiki yako

    Urafiki wenu umekutanishwa kutokana na adui wenu kuwa mmoja, Vijana kuweni makini sana
  3. Kuna tatizo lolote Kimantiki kwa Asiyeoa au Asiyeolewa Kukushauri mambo ya Maisha yako ya Ndoa na Changamoto unazozipata?

    Na ni nani aliyewadanganya Waswahili kuwa ili uwe Mshauri mzuri wa Jambo fulani basi ni lazima uwe una Uzoefu nalo kwa Wewe mwenyewe kukupata? Tanzania mpaka sasa ( japo wapo wanaojitahidi ) ila bado sijaona Mchambuzi Mahiri wa Mpira wa Miguu kama Dk. Leakey Abdallah ( mwana Liverpool FC...
  4. Ni maamuzi gani magumu umeshawahi kufanya kwenye maisha yako?

    Maamuzi gani magumu umeshawahi kufanya mpaka sasa huamini kama ni wewe ulifanya yale maamuzi? Tiririka Mkuu..... Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Paris nchini Ufaransa 🇫🇷
  5. Mke wako wako asikuzidi jina, nyumba yako itambulike kwa baba au mzee fulani na sio kwa mama au bibi fulani

    Mke wako wako asikuzidi jina, nyumba yako itambulike kwa baba au mzee fulani na siô kwa mama au bibi fulani. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya dalili kuwa Mwanaume umefeli ni Nyumba yako kutambulika Hapo mtaani Kwa jina la Mkeo. Utasikia pale Kwa Mama Taikon, au Kwa Bibi Zeituni...
  6. Mpenzi wako sio ndugu yako

    Mwanaume kumbuka kwamba uyo Lusifa unaemuita mke, mchumba, baby n.k sio ndugu yako uyo, ni stranger tu ambae umekutana nae ukubwani akakubali kujiweka kwako kwa masilahi yake, ana uhuru wa kufanya maamuzi ya kukuacha bila kujali sacrifices zote ulizofanya kwa ajiri yake, na kama cheti cha ndoa...
  7. K

    Je mapendekezo ya "TUME YA HAKI JINAI" yako wapi kwa Polisi hii

    Wale wale waliokuwa wanashangilia mapendekezo ya tume ndiyo hao hao hawajatekelezi na wengine kuagiza kuvunjwa kwa sheria hizo hizo. Yaani Polisi ya sasa inavunja sheria kuliko hata Polisi ya kabla ya tume. Sasa faida ya hizi tume ni nini! Au Tuwe na tume maalumu kwa vyama na makundi na sio kwa...
  8. Mdude Nyagali, naona unatema cheche kwenye keyboard ya compyuta yako, njoo saiti na bango lako uandamane

    Mdude huwa akishapiga misokoto yake, akijiangalia kwenye kioo huwa anajiona amefikia ukubwa wa tembo au ana meno makali kama ya simba. Nilitarajia nimuone pale Mbeya ofisi ya RPC akilianzisha. Taarifa zilizopo ni kwamba anachati akiwa uvunguni mwa kitanda chake. Huyu ni simba wa kuchongwa kwa...
  9. Unapokuwa umefanikiwa sana kifedha kumbuka vyote vitakavyoanza kuja kwako ni kwa hisani ya fedha yako

    Matajiri wa Jf najua mnajionea kwa wenzenu waliona sio mbaya wapendelee nafsi zao na kukuza status zao kwa kutembea na watoto wakali wa mjini. Ila leo hao slay queens wameanza kuonesha rangi zao za ukweli. Wanataka mali zote. Wanataka kile walichokiona kwako ile mara ya kwanza tu ulivyo mwambia...
  10. Wapo wa kutosha weka oda yako mapema

    Ndugu zangu undugu kufaana, naona haya kula mwenyewe kwa bei chee tu nakuletea mpaka mlangoni.
  11. W

    Ni wimbo gani unahisi unaweza kutumia kuelezea Maisha yako?

    NARINGA- ZUCHU Mh-mmh Nani Roney? Ah, Roney (he-hey, yoh Tron) Sing, mmh, eeh Let sing, come on, eeh Sioni aibu Kwa kila linalo nifika Maana kukosea ni wajibu Mola ameshaandika Na sianguki, mimi nimechaguliwa Nnae mtegemea hachoki Hajawahi kupitiwa Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza Vinanipa...
  12. T

    Lissu umeutumikia upinzani na kumwaga damu yako kwa gharama kubwa, upinzani uliokoa maisha yako, kulikoni?

    Kusema ukweli sitegemei Lissu atoe kauli alizozitoa kuwa CHADEMA siyo mama yake, ni kweli wote tunafahamu hivyo lakini angalia historia yako kwenye upinzani, na hadi ulipopigwa risasi. Nadhani hakuna aliyeteseka na kupigania haki za watanzania kama wewe. Safari ya mapambano ni ndefu na ngumu...
  13. Hiyo kazi yako utafika nayo uzeeni au ukifika uzeeni unatafuta nyingine?

    Kuna kazi ambazo kuna umri ukifika ni lazima uiache kila kazi na umri wake. Mfano mpira wa miguu mara nyingi ni mwisho miaka 38 Kuna kazi ambazo ni lazima utaicha mapema na kwenda kutafuta kazi ya kumalizia uzee wako Mfano Kukwea mlima Ufundi wa kupaua Udada poa Ukonda wa dala dala Kazi...
  14. Jemedari Saidi: Huna hata kombe la kuonyesha kwanini shughuli yako isiwe ya muda mfupi.

    Wasanii watatu, Dj mmoja, Mc mmoja, Wageni wawili, Huna kombe la kuonesha, huna mchezaji wa kuringishia kwanini shughuli isiishe mapema Yani shughuli kama ya Ubarikio hakuna mambo mengi😂😂😂😂😂 Duniani kama hujafanya mambo makubwa hata MSIBA wako utakuwa mfupi yaani utasikia MAREHEMU alizaliwa...
  15. Namna ya kulinda mahusiano yako na mpenzi wako

    1. Hakikisha mpenzi wako hatilii shaka uaminifu wako. Kikwazo nambari moja kwa maisha ya mapenzi yenye afya ni mawazo ya ukafiri kuwa na wasiwasi na mpenzi wako 2. Maandalizi mazuri Kabla ya Mapenzi sio ajenda. Maisha ya mapenzi yenye afya huanza na maandalizi kati ya wawili Kwa kuvaa nguo...
  16. Sio kazi yako kuwa kila kitu kwa kila mtu.

    Hapa sasa inatakiwa kuwa na Mipaka katika maisha yako. Kila shughuli umo tu, Kila mtu akikosa mtu wa Muhimu anakutumia wewe sasa kuziba pengo. Ukiitwa mahali kuna shughuli unaenda yani wewe hata kama ulikua unafanya kitu cha maana unaacha unakimbilia unakoitwa. Mtoto anaumwa baba au mama...
  17. Haji Manara hata ufanyeje Laana ya Kuikataa Simba SC ambayo ndiyo Timu yako ndiyo sasa Inakutesa hadi 99% ya wana Yanga SC wanakukataa Kweupe

    Yaani kabisa Baba yako Mzazi akiri EFM Radio na EA Radio kuwa Wewe ni mwana Simba SC kisha useme ni Yanga SC?
  18. Adui wa ndugu yako ni adui yako ,,,Tumewalipia Simba deni lao la kichapo cha bao 4-0 toka kwa AMAKHOSI!

    Ndo Ivyo wananchi wamewalipia kisasi wale vijana wa Mangungu maana walipigwa chuma 4 kwa mtungi na kaizer chief! Wananchi wanatamba kokote na wanatoa adhabu kokote na kwenye uwanja wowote, siwatishi lakini Yanga wanatisha! Moja ya pre-season Bora kabisa imefanywa na Yanga msimu huu!
  19. We Dada Perfume Yako Nzuri Sana

    Nimemwambia hivo dada mmoja jirani yangu nashangaa ananijibu eti "eeh kujenga nishindwe hadi kupendeza nishindwe" huku anajichekelea mwenyewe kwa furaha. Nimeshindwa kuelewa perfume inamfanya vp mtu kupendeza?
  20. Nywila (Password) ya Maisha

    Habari wana JF. Leo nimeona nikusogezee huu uzi utakusaidia kwa namna moja ama nyingine. Watu wengi hivi leo wamekuwa wakidharaulika sana, kuumizwa sana, wengine kupotezwa kabisa kwenye gemu (upambani au biashara) kwa kushindwa kutengeneza mfumo mzuri wa ulinzi wa taarifa zao au mambo ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…