Leo nimekumbuka Babati mkoani Manyara,
Punde baada ya kumaliza chuo
,siku ambayo nilipatiwa Millioni 2 kama malipo ya tenda....Nilijikuta kama Bill Gates vile.
Natembea barabarani kwa kuvimba
Napiga thamani fedha ya kila kitu nachokiona njiani.
Nafika kwenye mgahawa naagiza tu wala sitaki kujua...