yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. TKZ 2025: HESHIMA kwa Wazazi ni Lazima na Muhimu katika Maisha yako

    Kwa muda mrefu, nimekuwa natafakari juu ya tabia za watu (kama kiburi, uvivu, ulevi, wizi na kila aina ya utovu wa nidhamu) na athari zake katika familia zao na hata kwa Jamii, nikagundua kwamba mtu mwenye mafanikio ni yule anayewaheshimu Wazazi wake. Mtu anayewaheshimu Wazazi wake, haishii...
  2. K

    Health is wealth, kwa experience Yako mtu anawezaje kutunza afya yake

    Kufanya makosa ndio kujifunza, Sasa nadhani humu Kuna wataalamu wa afya lakini pia Kuna watu wana uelewa mkubwa kuhusu masuala ya afya Nina uliza ninawezaje kutunza afya yangu ya mwili na akili Naombeni tips niishi nazo 2025
  3. Pre GE2025 Kwanini Lissu analalama kila mara, kwanini usisubiri uchaguzi ushinde au ushindwe?

    Ndugu wana Jamvi ! Mimi nimevuka salama kabisa Please wale wafuasi wa Lissu na kama Lisu upo himu mwenyewe Jibu hilo swalii. Kwanini kila siku umekuwa unalalama kuhusu uchaguzi unayogombea. Mboye nayeye anagombea kama wewe Na wanotoa ushind ni wajumbe Sasa kwanini unakuwa na wasiwasi kila...
  4. Ndugu Zangu, Hususani wa Jukwaa la Siasa, Hakikisha Miongoni Mwa Malengo Yako Kwa Mwaka 2025, Unakua na Bima Ya Afya.

    Itakusaidia sana na kukuepusha na fedheha za kujifungia ndani kwasababu huna pesa ya matibabu, au kujiuguza kwa kukimbilia kununua panadol tu, au kufakamia dawa ambazo si sahihi kiholela dhidi ya ugonjwa au maradhi yatakayokua yanakusumbua, Lakini pia bima ya afya inaondoa unyonge na inaweza...
  5. Angalau 3/10 ya rafiki wa rafikiyo wasipokua rafiki zako, rafikiyo si rafiki yako

    Kimsingi ili watu wawe marafiki ni lazima wawe na vitu mfanano vya kuongelea, kwa maana kama hamna vitu mfanano vya kuongelea ni ngumu kutengeneza ile bond kati yenu kwa maana baada ya Salam mnakua mnaangaliana tu na badala yake kila mmoja anatoa simu yake anaanza kuperuzi peruri ili wakati...
  6. ***JE,UNAJUTIA TAALUMA/KAZI ULIYOISOMEA /KAZI UNAYOIFANYA, ?UNAFURAHIA NA KUJIVUNIA TAALUMA/ KAZI YAKO?***

    1)JE? unajutia kwanini ulisomea taaluma ya kazi yako ya sasa??ulishawahi jilaumu kwa nini ulisomea kazi yako uliyonayo sasa wakati wakati una apply ulikuwa na uwanja mpana wa machagua ya fani mbalimbali tofauti? 2)Je? unahisi haukuwa na information za kutosha/ exposure ya fani/ujuzi wa kazi...
  7. Yapi ni matukio yako makubwa zaidi mwaka 2024 katika nyanja za siasa,uchumi michezo nk.?

    Matukio mengi yametokea mwaka huu 2024, Je kwa upande wako ni matukio gani unadhani ni makubwa na kwa namna moja ama nyingine yameacha alama au kumbukumbu fulani kwako?
  8. Yapi ni matukio yako makubwa kimichezo 2024?

    Je, Matukio gani makubwa utayakumbuka katika ulimwengu wa kimichezo kwa mwaka 2024? Kwa upande wangu, ni mengi yametokea, Ila haya nadhani yamechukua nafasi kubwa 1.Yanga kutwaa ubingwa wa Ligi kuu mara ya 30 na mara ya tatu mfululizo 2.Yanga kufuzu robo fainali CAFCL 3.Goli la Aziz ki...
  9. Adui yako anaweza kuwa best friend? Any living examples please?

    Good Morning wadau wa JF. Visa vya rafiki kuwa adui ni vingi mno na vimeandikwa sana humu na sehemu zingine mbalimbali. Je, adui yako anaweza kuwa rafiki? Au aliyewahi kuwa rafiki kisha akageuka adui, anaweza kuja kuwa rafiki tena hapo baadae? Any living examples please? Kama una kisa cha...
  10. K

    Unatembelea Pemba? Tuna Malazi kwa ajili yako

    Karibu Pemba, Karibu Furaha Lodge, katikati ya mji wa Chakechake, bed and breakfast, free WiFi, Self contained rooms, Satellite TVs na ukarimu ni jadi yetu. Wasiliana nasi 0765448065 & 06795099901
  11. Usianike life style yako mtandaoni, binadamu hana tabia ya kusahau, binadamu hasamehi

    Usimwanike mtoto wako mtandaoni. Usimwanike mwenzi wako mtandaoni. Usianike mali zako mtandaoni. Usianike bata zako mtandaoni. Kuna siku utatamani kufuta itakuwa too late wenzako wameshadownload na kushare. Kuna siku utahitaji msaada post zako mtandaoni zitakuhukumu. Kuna siku utahitaji kazi...
  12. Je ni Heri kuvaa Suti ya Bei wakati una Jasho, unanuka na kuwashwa au bora ununue Sabuni uoge na kuvaa Lubega yako ?

    Better one Step with the People than 10 Steps Without...
  13. Tarehe 1 Januari itakuwa siku yako ya baraka sana #idai

    Tarehe 1 Januari itakuwa siku yako ya baraka sana #idai
  14. As Man unataka kuwa na furaha 2025 na kipindi chote cha maisha yako kilichobaki basi code ni hizi

    Code ni simple tu Love yourself first afu mengine yafuate. 1. Kula vizuri 2. Vaa vizuri 3. Fanya mazoezi 4. Tafuta pesa
  15. Jumapili yako.. Tuandikie neno moja la Biblia likupendezalo

    Maana Mungu hakutuitia uchafu, bali tuwe katika utakaso.Basi yeye anayekataa, hakatai mwanadamu bali Mungu, anayewapa ninyi Roho wake Mtakatifu.Katika habari ya upendano, hamna haja niwaandikie; maana ninyi wenyewe mmefundishwa na Mungu kupendana. 1 Wathesalonike 4:7-9
  16. M

    Namna ya kufuta leseni yako ya ukandarasi wa umeme

    Wakuu naomba msaada namna ya kufuta leseni ya ukandarasi wa uneme isiwepo kabisa. Ni leseni ndogo ya fundi wa kawaida wa wiring.
  17. Kijana ukioa tegemea uchungu huu ndani ya ndoa yako na huyo mkeo hakika na waambieni

    Ndugu zangu salaam Wazee watawaambia huo ndiyo uanaume, wanaume tumeumbwa mateso mwanamke hawezi kukushinda ila kaa ukijua unachezea moto utakaokuangamiza muda siyo mrefu, acha umwamba na kusikiliza maneno ya wazee jipende kijana, hao wazee ndoa zao hazikua kama hizi za kwetu. Wenyewe kila...
  18. G

    Ni ujinga kunywa bia kwa fujo na kupiga misele kwa gari msimu huu wa sikukuu. Halafu January unauza hiyo gari kwa bei ya kutupwa ili ulipe kodi/ada.

    Maandalizi ya kuufanya mwezi January kuwa mwezi dume, yanafanyika msimu huu wa sikukuu. Watu wanaponda mali kana kwamba wanakufa kesho ama wameagana kabisa na shida za dunia. January inapofika inawakuta watu hao wako hoi bin taabani kiuchumi. Wataanza kuhaha kuuza hata kile kidogo...
  19. Brooo wekeza kwenye maisha yako sio wanawake

    asilimia 99 ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya pesa na sio mapenzi ya kweli. ukiondoa pesa kwenye mahusiano au ndoa asilimia kubwa ya wanawake hawatoona sababu ya kubaki kwenye ndoa au mahusiano ndo maan ni rahisi kwa mwanaume tajiri kumuoa au kuwa kwenye mahusiano na mwanamke...
  20. F

    Mhe. Rais mpendwa sijaona post yako ya kutu wish heri ya x mas

    Mh rais naona amekaa kimya sana. Ameshimdwa hata kutu wish heri ya x mas kweli. Japo hatuna kitu lakini akitu wish tunagarijika
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…