yakobo

Issah Yakubu (born 17 December 1992) is a Ghanaian professional footballer who plays as a midfielder for Lebanese Premier League club Ahed.

View More On Wikipedia.org
  1. MKATA KIU

    Biblia imeandika Yakobo alipigana na Mungu usiku kucha na akashinda pambano hilo. Inakuwaje Mungu anapigana na anapigwa na kiumbe chake ?

    Ukisoma biblia katika kitabu cha Mwanzo 32 kuanzia mstari wa 22 mpaka mstari wa 32 Utaona mistari ikielezea jinsi ambavyo Yakobo Alipambana na Mungu 22 Usiku huo, Yakobo akaamka, akawachukua wake zake wawili, wake wake wawili wa kufanywa wake wa mitala, na wanawe kumi na mmoja, akavuka kivuko...
  2. Mhafidhina07

    Je,Taifa la Israel limeshatimiziwa ahadi na Mungu wa Yakobo?

    Sijatambua ni mungu wa aina gani ambaye anaabudiwa na wanawaisrael sababu kubwa ni kwamba. Kipindi yakobo anatokewa na Mungu beer sheba kama sikosei aliweka jiwe la agano,je hatuoni kiwa kinachoabudiwa ni mizimu ya Israeli?kama tunavyotambua kiwa Mungu ni nguvu na ipo kila mahala inakuwaje lile...
  3. U

    Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

    Wadau hamjamboni nyote? Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him." Je...
  4. Mwande na Mndewa

    Hongera Mama Samia kwa kuvunja genge la Wapigaji, Maharagwe ya January na chemba ya Yakobo

    Iko hivi miradi yote ya upigaji ya Tanesico alikuwa anaifanya Maharagwe na January Kipara,mikataba hiyo ilikuwa inasainiwa kwenye chemba ya Bwana Yakobo,huyu Yakobo ni rafiki sana wa Mzee Kinena,mambo yake mengi ya kisheria yanafanywa kwenye chemba ya Bwana Yakubo, Kwa mara nyingine Mama...
  5. M

    Askofu Mwamakula: Matokeo ya mkataba wa milele kati ya Essau na Yakobo kwa vizazi vyao vyote!

    MATOKEO YA MKATABA WA MILELE KATI YA ESSAU NA YAKOBO KWA VIZAZI VYAO VYOTE! Madhara ya mkataba kati ya Essau na Yakobo yalikuja kuonekana baadaye baada ya Essau kupoteza kabisa haki zake zote za kiutawala, kiuongozi, kiuchumi, kidiplomasia na kisiasa. Chanzo cha mkataba ule ilikuwa ni tamaa ya...
  6. J

    Tanganyika na Zanzibar ni sawa na Esau na Yakobo baada ya kubarikiwa!

    Huwa najiuliza sana Kwanini Yakobo (Israel) alitafuta kwa bidii kuzipata baraka za baba yake mzee Isaka. Nikagundua Kuwa Kabla ya hapo Esau alishauza nafasi yake ya uzaliwa wa kwanza kwa Yakobo. Na kila niikumbukapo Tanganyika namkumbuka Esau ambaye hatajwi tajwi tena Kwenye Biblia baada ya...
Back
Top Bottom