Rais wa Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi amekubali kuwaachilia wanajeshi wawili wa Rwanda ambao nchi yake inawashikilia.
Maamuzi hayo yamefikiwa baada ya Rais wa Angola Joao Lourenco kufanya mazungumzo na Rais Tshisekedi, jana Mei 31, 2022, baada ya hapo Lourenco...