Wakuu,
Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), limelaani vikali hatua ya kuenguliwa kwa wagombea wa CHADEMA katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vijiji unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu.
Kaimu Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa, Sharifa Suleiman, alitoa kauli...
Ndugu zangu Watanzania,
Jumuiya Ya umoja wa Wanawake wa chama cha Mapinduzi Tanzania,.ambayo ndio jumuiya kubwa, yenye nguvu na ushawishi mkubwa sana hapa Nchini na ambayo inapigiwa mfano Barani Afrika na ambayo imekuwa ikiigwa na vyama mbalimbali barani Afrika.
Imelaani vikali sana na kwa...
TAMKO KULAANI KUVAMIWA KWA MWANDISHI WA HABARI
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unalaani vikali kitendo cha kuvamiwa na kuzuiwa kufanya kazi za uandishi wa habari kinyume na sheria kwa mwandishi wa habari wa Ayo Tv kilichotokea jana Ijumaa Septemba 19, 2024 akiwa...
Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao wanapokuwa nje ya nyumba zao pamoja na kupiga marufuku wanawake kuongea mbele ya hadhira/umma...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), umeungana na wadau wengine kulaani madai ya kukamatwa kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na wanahabari wakielekea katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani jijini Mbeya.
THRDC imetoa tamko hilo leo Jumatatu, Agosti...
Kama kawaida yao, nchi ya Marekani hainaga mchezo linapokuja suala la haki za binadamu. Marekani inafuatilia kwa ukaribu hali ya usalama nchini Kenya.
Kwa yanayoendelea kwa jirani zetu, Serikali kama kawaida ya Serikali nyingi za Afrika, watu wasiojali maisha ya mwingine wameamrisha matumizi ya...
Mtifuano unaendelea huko Mashariki ya kati baada Russia kupeleka meli za kivita huko Red sea na Russia kuanza Kushambulia magaidi wa ISIS [IS Israel] huko Golan. Biden akatangaza kuipatia Israel ndege za F35 na Silaha zingine hapo kitaalamu ni Ligi ya Russia na Israel inaanza...wakati huo huo...
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imehimiza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kutenda mema na kudumisha amani, umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi.
Zanzibar ni nchi yenye historia kongwe ya uvumilivu wa kidini ambapo Uislamu na Ukristo uliingia mapema kuwa sehemu muhimu ya utamaduni...
Iran ilishakana haikuhusika au hata washirika wake hawakuhusika, sasa haielewi kwanini Marekani anapiga chochote chenye harufu ya Iran huko nje.......
Kilichobaki sasa ni Iran kukasirika ifanye kitu tuone mwisho wake maana Marekani wanaendelea kupiga....
Syria and Iraq assail Washington for...
Rais wa Israel amelaani kitendo cha Sweden kuruhusu uchomaji wa biblia ya kiyahudi ya Torah
Kumbuka hivi karibuni Sweden ilitoa kibali cha uchomaji wa quran.
Sweden inasema ni haki ya mtu kufanya anachokitaka ili mradi havunji sheria.
Updates
Jamaa aliekua achome Biblia na Torah kwenye...
Julai 12, 2023, Balozi mstaafu wa Tanzania Nchini Sweden, Dkt. Wilbroad Slaa akiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari alitoa kauli inayotuhumu waandishi wa habari kwa kufanya upotoshaji wa matamshi yake kwenye sakata la uwekezaji wa Bandari.
Baada ya kauli hii, wadau mbalimbali walianza...
Leo Bungeni, waziri Tax ametoa wito kwa pande zinazohasimiana Sudan zifikie suluhu na kulaani mapigano hayo. Tax amesema wapo watanzania 210 na hadi sasa hawajapata taarifa ya mtanzania aliyedhurika.
Tanzania imesema inafanya mpango wa 'evacuation' kwa raia wa Tanzania endapo itahitajika.
Mataifa ya Magharibi yamelaani mipango ya Moscow ya kufanya kile kinachoitwa kura ya maoni ya dharura katika sehemu za Ukraine ambazo kwa sasa ziko chini ya udhibiti wa Urusi.
Kura hizo zimeitishwa na maafisa wanaoungwa mkono na Urusi katika mikoa minne ya Ukraine kuuliza iwapo wanapaswa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.