Hili liinchi la DRC kuna wakati huwa linaboa, yaani kila siku kulia lia, hako kainchi kadogo size ya mkoa kanawasumbua kivipi, kwani wakiamua kutuma maelfu ya wanajeshi kwenye huo mpaka wa DRC na Rwanda hawataweza kukadhbiti?
Wamesaidiwa na wanajeshi kutoka kote lakini kila siku ni kilio...