yameongezeka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naibu DCI: Takwimu zinaonesha Makosa ya mauaji ya binadamu yameongezeka Zanzibar

    Naibu Kurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Naibu Kamishna wa Polisi DCP. ZUBERI CHEMBERA amesema makosa dhidi ya binadamu kwa upande wa makosa ya mauaji yameongezeka Zanzibar. Akitoa tathmini ya hali ya usalama Zanzibar kwa kipindi cha Januari hadi Disemba 2024 huko Makao Makuu ya Polisi...
  2. Awamu ya sita iliiponda awamu ya tano kwa matukio ambayo yameongezeka zaidi awamu hii ya sita. Je, ni karma?

    Awamu ya sita ilipoingia madarakani hakuna rangi ambayo hatukuiona,mara ooh awamu ya tano ilitumia kodi za dhuluma. Mara ooh walikuwa wauaji na watekaji mara ooh waliiba hela mara ooh uchaguzi ulikuwa uchafuzi sio uchaguzi. Sasa je awamu ya sita haitendi haya yote?
  3. Tangu makonda arudi kwenye nafasi za kisiasa matukio ya utekaji na unyang'anyi yameongezeka! Je Kuna nini hapo?

    Huu ndiyo ukweli Wala haihitaji 🚀 science kujijua hili jambo. Kuna kazi anaziratibu? Mamlaka inamtegemea? Watanzania si wajinga. Uzi tayari.
  4. SIPRI: Matumizi ya kijeshi kote duniani yameongezeka kwa asilimia 7 kwa mwaka 2023

    Taasisi ya kimataifa ya utafiti wa masuala ya amani na usalama SIPRI, imesema matumizi ya kijeshi kote duniani yameongezeka kwa asilimia 7, ikiwa ni sawa na dola trilioni 2.43 kwa mwaka 2023 Taasisi hiyo ya SIPRI iliyoko mjini Stockholm, Sweden, imesema ongezeko hilo la asilimia 7 ni kubwa...
  5. Mzee Kinana, kama mapato yameongezeka awamu hii, hawa DP World wanafanya nini nchini

    Nimetumia jina la DP World kujenga kichwa cha habari. Hivi juzi Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara amenukuliwa na media akibariki pambio inayotumiwa na chawa kwamba Awamu ya 6 imefanya mambo mengi ya mafanikio. Kikubwa alisema kuwa mapato ya serikali yameongezeka maradufu kuliko awamu zote...
  6. Pamoja na ujio wa Dotto Biteko Makali ya Mgao wa Umeme Yameongezeka

    Makamba alitolewa Tanesco kupunguza makelele tu. Ila kiuhalisia sasa hivi mgao wa umeme ni mkali kupita kiasi.. Swali linabaki pale pale bwana yule aliwezaje kutuepusha na hii dhahama...Samia is a failure. Nawashangaa sana wanaowaza kumwongezea muda.
  7. Bosi mpya TANESCO Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga asema: Tunatarajia changamoto ya upungufu wa umeme imalizike Machi 2024

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga ametambulishwa mbele ya waandishi wa Habari leo Septemba 27, 2023 na kuelezea kuhusu mipango ya shirika hilo na kugusia kuhusu changamoto ya umeme. Kuhusu changamoto ya umeme Nchini, amesema “Tunatarajia...
  8. Baada ya kumpa ujauzito, mapenzi yameongezeka sana

    Kuna pisi kali ilikuwa inanisumbua sana; kutokana na uzuri wake, nikasema hapa, piga ua lazima hili goma nilichukue, na ili kuhakikisha napata huduma muda wote nikaahidi lazima anizalie. Muonekano wa hii pisi kali; amepanda hewani kunizidi mimi, rangi ya chungwa, sura tamu, kiuno nyugwi...
  9. Tuliwahi kusema kuwa Kuna uhaba wa kondom, haya sasa maambukizi yameongezeka!

    Niliwahi kuandika hapa jamvini kuwa kulikua na uhaba wa kondomu nchini, na kwamba Hali Ile isingedhibitiwa athari zake zingekuja kuonekana baadae. Juzi Ummy ametoa taarifa kuwa Kuna ongezeko la Maambukizi ya UKIMWI nchini, Yale tuliyoyaongea tukasimangwa ndio Leo hii yanajitokeza. Awamu ile...
  10. Kassim Majaliwa kama mapato ya utalii yameongezeka sasa kwanini usimshauri Rais Samia akafuta tozo zinazosumbua raia wa chini wasio hatia?

    Kwa nini mnatusumbua kwa mitozo ya ajabu ajabu wakati kumbe mapato ya utalii yamepaa kwa 81.8%? Acheni kuonea wanyonge.
  11. Kafulila: Mwaka mmoja tu wa Rais Samia mauzo ya bidhaa na huduma nje yameongezeka kwa US$ 2.8bl Sawa na Shilingi trilioni 6

    Wakati baadhi ya Watanzania wachache wakiendelea kufumba macho na masikio wasione wala kusikia kazi kubwa na Nzuri inayofanywa na Rais wetu hodari wa awamu ya sita Mhe Samia Suluhu Hassan, Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila ameandika haya Kwenye ukurasa wake wa tweeter kuhusu...
  12. #COVID19 Maambukizi Afrika Kusini yameongezeka maradufu. Visa 8,500 vyarekodiwa ndani ya saa 24

    Afrika Kusini imerekodi ongezeko kubwa la maambukizi ya virusi vya corona ambayo yameongezeka maradufu kote nchini humo tangu Jumatatu. Maafisa wa afya wanasema aina mpya ya Omicron iliyogunduliwa inaweza kuwa inachochea kuongezeka, ingawa haijulikani wazi ni watu wangapi kati ya wenye...
  13. Kama maji yameongezeka mto Ruvu ndani ya saa 48, basi hata Kidatu, Kihansi na Pangani yataongezeka kama wanaohujumu wakidhibitiwa

    Ni dhahiri kuwa maneno ya hayati JPM yana ukweli kuwa hujuma ya kufungulia maji ili yasiende kwenye vyanzo vya kuzalisha umeme vya, Kihansi, Kidatu, Mtera na kwingine ndio chanzo cha mgao na tatizo la umeme hapa Bongoland. Kama raia wa China na muwekezaji alikuwa anachepusha lita Mil moja kwa...
  14. Nimepata ajira wife ameongeza matumizi ya pesa zaidi ya mara mbili

    Habarini wapendwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…