Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema kwa mafanikio ambayo timu ya Yanga imeyapata anatamani kumshauri Gavana wa Benki Kuu (BoT) kuweka nembo ya klabu hiyo kama kungekuwa na noti ya Sh100 kuyaenzi mafanikio hayo.
Chanzo: mwanaspoti_tz
Sasa kama Mtu mwenye Doctorate anasema Pumba hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.