Hii text jamaa wa MC Algers wanasema ndo aliwashtua mambo mengi mengine kuna jamaa anasema atatuma jumbe zote ambazo watu walikuwa wanawatonya MC Algers.
Kuna watu wamewapa mchongo wote hawa jamaa. Hawa ndo wamesababisha tusipate ushindi.
Uongozi wa MC Algers walishasema kuhusu referee kuwa...
Wakuu, habari zenu?
Nianze kuunga mkono kwa Yule ambaye atasema "Bara la Africa limelaniwa" pasipo na shaka Wala dukuduku lolote kutoka moyoni yupo sahihi.
Hii haiwezekani hizi hujuma ambazo wana-Yanga tumefanyiwa kwenye match yetu kati ya MC Alger hazitakiwi na Wala siyo vitendo...
Haiwezekani Yanga leo isishinde. Haiwezekani. Yanga leo inashinda si chini ya bao 2. Yaani ushindi upo na ni lazima. Yanga imejipanga kwa hali na mali na kwa kila kitu.
Leo tunashinda. Ubao umetusoma vizuri na wazee wamebariki. Hatoki mtu hapa kwa Mkapa. Nipigwe ban na viboko 14 hadharani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.