yanga sc na simba sc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Inawezekana tukawa tumenunua VAR kwaajili ya urembo

    Miezi kadhaa nyuma tulisikia taarifa za ujio wa VAR kwa Tanzania kwaajili ya kuboresha ligi yetu katika kusaidia utoaji wa maamuzi yenye utata uwanjani. Nimeshangazwa sana kwa kutokuona waamuzi watakaokuwepo kwenye chumba cha VAR siku ya tarehe 8 kati ya Simba dhidi ya Yanga. VAR ilipaswa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…