Vitu vingi vinatatiza makomandoo wa Yanga wanaamini ulozi sana kuliko timu yeyote hapa bongo mchezaji wao asipofunga wanasema amerogwa.
Wao muda wote wazee wa timu ni kuzungumzia uchawi tu na kuogopa kurogwa hata hii mechi ya kesho tayari wana kundi la waganga nchi nzima kuchanganya na hongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.