EDO: WATU WASIPOKUWA MAKINI WATAPIGWA TENA 5.
Imagine FC Augsburg inakamia mpaka imesahau kama inacheza na Yanga badala yake wanadhani ni Bayern. Hakika hii Yanga ni lidude likubwa. Tukutane Agosti 8, YANGA SC VS MAGOMA SC.
NB: Si mmeona match za pre season tunazocheza, baadae msije mkasema...