Kivumbi kingine kwa timu ya Wananchi Yanga SC katika ligi kuu ya NBC leo tena kuondoka na alama tatu?
๐ NBC Premierleague
โฝ๏ธ Young Africans SC๐JKT Tanzania
๐ 22.10.2024
๐ Azam Complex
๐ 1:00 Usiku
Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimeanza karibu kupata burudani ya soka
Dakika, 36 mpira bado...
Kama kawaida kama dawa.
Hii timu ya JKT ina beki imara nimetizama kwa jicho la mpira, vijwna wanautulivu wa hali ya juu kuanzia kipa beki mpaka viungo.
Hawabutui hovyo wala hawafanyi makosa mepesi.
Kuna muunganiko nyuma na kati kati.
Ni kama vile kwa mbaali nilidhani ni ukuta wa Yanga...