yanga vs kagoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Komeo Lachuma

    Nimemuona Kagoma. Simba imrudishe Kagoma ni mali yetu. Acheni figisu ni bonge la mchezaji

    Simba wametufanyia uhuni. Kagoma jana aliwafanya waarabu wakimbie pale kati. Wakaamua kukimbilia pembeni. Jamaa si mwoga kabisa. Na ni mjeuri jana kacheza kama vile ni mzoefu. Yanga hii mali tuliiwahi. Simba wamekuja kutupora. Mungu anawaona nyie Mkia. Tunawapeleka CAS. Soma Pia: Mwanasheria...
  2. Nehemia Kilave

    Rage: Mikataba ya Yanga kama kadi ya harusi

    Ya kweli haya ? --- Aden Rage akihojiwa na Crown Media kuhusu sakata la Mkataba kati ya Yusuph Kagoma na Yanga emesema: "Wanasheria wetu watanzania watofautishe Elimu yao ya sheria zetu za Tanzania na sheria za FIFA, wanapaswa kujua kuna kitu kinaitwa TMS ambayo ilianzishwa na FIFA ili kusiwe...
  3. M

    Suala la Kagoma Fountain Gate mlishajichanganya pakubwa bora mkae kimya Yanga ashughulike na mhalifu wake

    Nimemsikiliza msemaji wa fountain gate vizuri akisema yanga walikiuka makubaliano kwa kuchelewesha fedha walizokubaliana juu ya mauzo ya kagoma ivyo mkataba ukawa umevunjika na wakawauzia Simba mchezaji! Hiki ni kichekesho kingine kwakuwa mkataba wa mchezaji aliousaini na klabu husika auwezi...
  4. MwananchiOG

    TFF itoe adhabu kali kwa Simba kwa kumchezesha mchezaji wa timu nyingine, Singida FG na kagoma waadhibiwe kwa udanganyifu

    Baada ya Timu Yanga kuthibitisha pasi na shaka, Tena kwa kutoa vithibitisho vya mikataba halali vinavyothibitisha kwamba mchezaji Yusuph kagoma, ambaye ni mali ya SFG kuingia mkataba na Yanga, Kisha mchezaji huyo kutumika katika michezo miwili ya Simba, mmoja dhidi ya Tabora utd na mwingine...
  5. Waufukweni

    Mwanasheria wa Yanga: Mchezaji Yusuph Kagoma alisaini mkataba wa miaka mitatu na Yanga

    Mwanasheria wa Yanga, Simon Patrick, ametoa ufafanuzi juu ya umiliki wa mchezaji Yusuf Kagoma baada ya mazungumzo marefu na klabu ya Singida Fountain Gate. Patrick alisema, "Tulianzisha maongezi ya muda mrefu na Singida Fountain Gate kwa lengo la kununua rasmi Yusuf Kagoma." Kwa mujibu wa...
Back
Top Bottom