Sasa ni zamu Wananchi Yanga kuonyesha visu vyao. Jumapili hii Agosti 4 katika dimba la Benjamin Mkapa itakuwa ni kilele ya Wiki ya Mwananchi utambulisho wa wachezaji wa msimu wa 2024/2025 kufanyika.
Utambulisho huo utakamilishwa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya mabingwa wa Kagame Cup, Red Arrows...