Barua Ref:No YASC/TPLB/M. 184/2025/ 201
Yanga imeandikia Bodi ya ligi rasmi barua yenye kurasa 5, kuomba alama 3 na magoli 3 na kutaka fidia za maandalizi ya mchezo kiasi cha Tshs 56,435,000. Ambazo zimeainishwa kwenye kipengele namba 17 kwenye barua yenye vipengele 19
Katika kipengele namba...
NImekua nikifuatilia maoni ya wadau wengi kuhusu sakata la kuahirishwa mechi kati ya Simba na Yanga mnano Tarehe 8.3.2025.
Baada ya club ya Simba kuzuiwa kufanya mazoezi waliandika kwa Umma kuwa hawataweza kucheza mchezo huo tajwa,Bodi ya Ligi walikuja na barua hii na kahirisha mechi.
Bila...
Niwaambie tu Viongozi wa Simba mtakua na wakat Mgumu sana, ukweli ni kua Mashabiki wa Simba watawageuka vibaya Mno na vile hua hawakawii kusema muondoke muwaachie Team yao mtaona.
Ombeeni Match ipangwe mapema kabla ya kucheza Michezo yoyote ya Ligi,
Au muiotoe Al Masry ila mkatolewa CAF then...
KARIAKOO DERBY | Leo Jumamosi kwa Mkapa kinapigwa, Yanga SC Vs Simba SC
Saa 1:15 usiku | 🔴 LIVE updates hapa
Je, Simba anakwenda kufungwa kwa mara ya 5 mfululizo na Yanga? Ama kukata uteja…!🫣🤯
🚨 Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba
Derby ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba ni moja ya mechi kubwa zaidi nchini, ikijaa ushindani ndani ya uwanja na tambo kutoka kwa mashabiki wa timu hizo mbili za mtaa wa Kariakoo.
Hapa ni nyota wa kutazama kwenye derby hii.
Kibu Denis
Tangu ajiunge na Simba, Kibu amekuwa mwiba hasa kwenye...
Mashaki wa Mnyama, Simba mmemsikia msemaji wenu wa zamani?, Haji Manara akiwa Wasafi Fm amesema Makolo hawatotufunga hadi 2030, Samia atoke Madarakani
"Naomba Watu waelewe Ule wimbo wa 'Yanga inafungwaje' haujaimbwa kwaajili ya Tabora au Timu nyengine ule umeimbwa kwaajili ya 'Makolo' kwahiyo...
Tunajua mbinu za yanga nje ya uwanja ni chafu na kali sana.
Tutaendelea kuona wachezaji bora wa Simba wakiumia na kujitibia muda mrefu,ama wakicheza chini ya kiwango kutokana na mbinu chafu za hii timu nje ya uwanja.
Hizi mambo ya kuchinja ng'ombe na kunywesha watu supu sio nzuri kabisa
Simba...
Kwa mara ya kwanza ndani ya misimu mitatu niliiona Simba Ile iliyobeba ubingwa wa ligi mara nne mfululizo.
Mbali na Simba kupoteza jana lakini nilishuhudia Simba ya hatari inayokuja hapo mbele, timu ambayo inaweza kumzuia Azizi Ki na Pacome wasiingie kwenye boksi ni timu ya kuogopa sana...
Ni vema Sasa kukawa na tuzo ya seti mbovu ya Waamuzi.
Heri Sasii
Mohamed Mkono
Kassimu Mpanga
Wanasitahili kupewa zawadi hii maana jana wameharibu Radha ya Mechi Kwa maamuzi yasiyozingatia weledi. Mechi ilistahili kuwa na penati kuanzia 2 na kuendelea, Mechi haikustahili kuisha Kwa 1-0.
Soma...
Hapo vipi!
Yanga ya sasa ni mbovu kwa Simba SC.
https://www.jamiiforums.com/threads/yanga-sc-vs-simba-sc-semi-final-community-shield-benjamin-mkapa-stadium-08-08-2024.2243315/
Inawachezaji wazee na Simba inawachezaji vijana na wenye uwezo mkubwa.
Naona yanga leo ikipigwa 4 bila na Simba SC.
Mimi naamini, itakuwa siyo habari ya kushangaza yanga kuishinda Simba kwasababu tayari viongozi na benchi la ufundi linazo sababu za kupoteza mchezo wa Leo.
Lakini ikiwa hivyo kweli, napendekeza Eng. Hersi akumbukwe kwa kujengewa sanamu pale Jangwani kama kumbukumbu za kumfunga mtani mara tatu...
Ngao ya Jamii: Alhamis hii ni nusu fainali ya wababe. Saa 1:00 usiku ni Kariakoo Derby Yanga SC dhidi ya Simba SC ngoma itapigwa dimba la Benjamin Mkapa.
Dakika 2, Mpira umeanza kwa kasi sana.
Dakika 4, Yanga wamekosa nafasi ya wazi baada ya Prince Dube kupiga mpira ukagonga nguzo ya goli...
Salaam wanajukwaa, kwa maoni yangu lakini (naomba niwe tayari kurekebishwa na wanaoitwa wajuaji)
Naona kabisa WASAFI FM/TV ni YANGA na CROWN FM/TV ni SIMBA.
Swali 1; Je, ni permanent marketing strategy za wamiliki ili kupata views na listeners wengi zaidi?
Swali 2; Je, ni timing tu na vitu...
Naona matokeo mapema this time
Mechi itakuwa ngumu kipindi cha kwanza
.Cha pili yanga wataingia na kasi ya ajabu sana sana aijawahi kutokea
Kama baadhi ya wachezaji wa simba watashindwa kuvumilia hii kasi tutarajie penalty itatokea kwenye hii mechi
Yanga ana 75 perc ya ushindi mpaka...
Homa ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC.
Yanga akiwa mwenyeji anaingia akijiamini huku ana kumbukumbu nzuri ya mchezo wa mwisho aliomchapa mtani...