Huyu Manara anatufunga kamba 😂
Eti anasema anaamini asipovaa jezi wanafungwa na ile mechi ya Tabora hakuvaa wakala Tatu na ndio kisa cha kuhama pale Azam Complex
Pia, Soma: Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024
Jana jioni nilikaa eneo fulani nikiwa napambana na hamu ya kunywa bia (nimeacha ulevi ila day by day sio rahisi kusema kweli) nikasikia makelele Bar ya jirani. Ingawa sio mpenzi sana wa mpira, nikasema nijongee nione nini kinaendelea. Nikiwa pale, nikaambiwa Yanga ipo ICU, hivyo nikakaa kuona...
Katika mechi ya jana ya Yanga vs Tabora utd kuna shabiki alimrushia refa msaidizi (kibendera) chupa ya maji na kumfikia mgongoni, hii ilitokea baada ya refa huyo kunyoosha bendera kuashiria kuwa goli la Dube ni offside, na camera zilionyesha wazi ni wapi chupa imetoka hivo wanaweza kuifatilia...
Manara mwenye code za Ubingwa ametia neno sasa
=================
Alhamdulillah 👏🏻👏🏻
Humiliation 😭😭
Huu ndio Mpira sasa na hii ndio maana ya Ligi kuu, Tukubali leo tumejaa kwenye mfumo na tuwape hongera Tabora United.
Tumepoteza Points Sita mfululizo lakini hatujanyang’anywa bado Ubingwa wetu...
Mechi: Yanga SC VS Tabora United
Ligi: NBC Premier League
Uwanja: Azam Complex
Tarehe: November 7,024
Muda: 🕖 6:00PM
Dakika, 11 Si Yanga wala Tabora hakuna timu iliyopata goli hadi sasa.
Dakika, 15 Mchezo umendelea kuwa mzuri timu zote zinacheza kwa utulivu sana.
Dakika, 19 Tabora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.