#MsasaSports
YANGA SC YAINGIA KWENYE HISTORIA
YA HIGHLIGHTS YA MECHI YAO KUWA
NDANI YA YOUTUBE YA BUNDESLIGA...
Na Godson Mbilinyi
Unapotaja Ligi Kubwa za Soka duniani huwezi kuiacha Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga) yenye klabu kubwa zinazotikisa duniani kisoka hadi kiuchumi kama Bayern...