BREAKING: Mjumbe wa kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kuu Tanzania bara Ndugu Filimon Ntahilaja amejihudhuru nafasi yake muda mfupi uliopita na kutoka nje ya kikao baada ya maamuzi ya kutolewa ambapo yeye anaamini hayakuwa maamuzi sahihi.
Imefahamika kuwa Ndugu Filimon Ntahilaja...
Ndugu Wananchi kwa dhati ya moyo wangu niwapongeze kwa kufika uwanjani kutoka kona zote nchini, mliosafiri kwa anga, mliosafiri kwa magari, mliopanda Pikipiki, mliopanda boti hadi Watembea kwa miguu, yote ni kwa ajili ya Yanga Afrika, huu sio tu upendo bali mahaba ya kulevya kwa klabu hii bora...
Kuna taarifa kuwa boss wa AS Vita Club amemvutia waya Engineer Hersi kumweleza kuwa mchezaji Elie Mpanzu (wabongo wananwita Elia) amerudi Congo na hajafanikiwa kusajiliwa Belgium.
Boss huyo ambaye ni askari jeshi amesema kuwa mchezaji huyo yuko tayari kuja Yanga endapo atapata nafasi na...
Salamu ni upotezaji wa muda twende moja kwa moja kwenye mada.
Tangu Yanga waibamize Simba 'Kigoli' kimoja huyu msemaji ambaye siku za hivi karibuni alionesha kuitaka sana hiyo kazi.
Hata kupelekea dogo msemaji kujiuzulu.
Leo yupo kimyaaaaaaa hakuna mahali alipojitokeza kuonesha kafurahishwa...
Hongera sana Young African kwa kiwango bora na chakushangaza. Hakika hakuna timu ya kuifunga Yanga hapa Tanzania. Hatua hii ni kutokana na uongozi imara usio na tamaa. Simba S.C sio kwa ubaya ila yafaa mjiulize na kujifunza kwao kwani kujiuliza kwa aliyefanikiwa sio vibaya.
NB: Young African...
Kwa UPUMBAVU niliouona nina uhakika Alama zangu zote 6 naziacha kwa Yanga SC ( nikimaanisha Nakandwa ndani nje ) na Alama zangu 4 ( nikimaanisha Azam watanifunga Mechi moja na nyingine nitajitutumua nao kwa Sare ) hivyo GENTAMYCINE niwaombe tu TFF wala wasichelewe kufanya hili kwani wenye Kuujua...
Hongereni sana Yanga SC Timu ya Wananchi kwa Tamasha la jana mlifunika. Mlijaza viwanja viwili vya Mkapa na Uhuru.
Wachezaji walionyesha kandanda safi kwa asilimia 73 kwa 27. Pasi zao zilikuwa za uhakika na hata Makamu wa Rais alifurahishwa na kutamka ni timu gani kama Yanga.
Mmefunika...
Nabi rasimi kathibitisha kuwa hatakuwa pamoja na kilabu ya Yanga kwenye mechi yao dhidi ya TP-Mazembe nchini Kongo katika mchezo wa marudiano wa shirikisho la Afrika.
Kumekuwa na sintofahamu na mashabiki wengi wa soka wakijiuliza juu ya kumkosa kocha mkuu wa yanga katika mchezo huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.