Wanachama wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) wameiomba serikali kupitia Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kutambua mafuta yanayotumiwa na watu wenye ualbino kama tiba badala ya kuyajumuisha kwenye kundi la vipodozi, kama ilivyo sasa.
Ombi hilo limetolewa...
NI VYEMA MAFUNDISHO KAMA YA BINADAMU WA KWANZA ALITOKANA NA NYANI YAONDOLEWE KWENYE MITAALA YETU YA ELIMU KWASABABU YANACHOCHEA UBAGUZI WA RANGI KWA WATU WEUSI
UTANGULIZI
Ubaguzi wa rangi, kwa maana fupi ni hali ya kumpagua binadamu mwenzio kwasababu ya rangi yake ya ngozi. ambapo kwa mara...
Ukweli usemwe na Rais kama anapitia hapa ashaurike pia.
Haya Mabango ni pesa ndefu sana; ukienda hospital ukakuta huduma sio nzuri, mara dawa hakuna ghafla unatoka nje unakutana na bango la Rais Samia la pesa ndefu lazima uvurugwe.
Maisha yanapanda kila siku na Bei zinapaaa na Tozo...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema pendekezo la kuhamisha makao makuu ya Umoja wa Mataifa kutoka New York hadi nchi nyingine ni wazo zuri na linafaa kuzingatiwa.
Sergei Lavrov, ambaye yuko mjini New York, amewaambia waandishi wa habari kando ya mkutano usio rasmi wa Baraza la Usalama la...
Huu ni ushauri ninaoupeleka kwa wahusika wote pamoja na wenye mali ambao ni wananchi.
Kuwepo kwa maneno haya ya kijinga kwenye ndege zilizonunuliwa kwa hela za wananchi, au unaweka maneno haya kwenye meli zetu ni upuuzi usio na mfano. Haya yanafanywa na makondakta wa daladala za DSM kwa lengo...
Jeshi la polisi upande wa barabara wamezuia madereva wanaotumia taa za vimulimuli na ving'ora kwa magari yasiyostahili pamoja na kwa bodaboda. Ni hatua nzuri.
Bado kuna changamoto moja hasa upande wa bodaboda. Wengi wameweka honi ambazo zinaleta kelele na hofu njiani. Ukiwa mbele yake na...
Uchaguzi ulikwisha.
Na kwa bahati mbaya sana Mungu alimpenda zaidi tuliyempenda, hivyo sio vema kuendelea kuona sura yake ikipiga kampeni kwa picha zile za unyenyekevu.
Kwa Dar es Salaam hili lilifanyika punde tu parapanda ilipolia, sijui ni kwamba hawakumhitaji tena au zile nguzo zilipangiwa...
Nije moja kwa moja kwenye mada,
JKT walitangaza vijana waliomaliza kidato cha SITA kujiunga na mafunzo ya JKT kwa MJIBU WA SHERIA.
JKT walitoa maelekezo vitu wanavyopata kuwa navyo watoto, ajabu unamnunulia Mtoto hivo vifaa walivyotaja wao, baada ya Mtoto kufika kambini anakutana na vitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.