Ukweli usemwe na Rais kama anapitia hapa ashaurike pia.
Haya Mabango ni pesa ndefu sana; ukienda hospital ukakuta huduma sio nzuri, mara dawa hakuna ghafla unatoka nje unakutana na bango la Rais Samia la pesa ndefu lazima uvurugwe.
Maisha yanapanda kila siku na Bei zinapaaa na Tozo...