Yapı Merkezi Holding A.Ş. is a group company whose field of activity is primarily in the construction industry. It was founded in 1965 by Ersin Arioglu and Koksal Anadol in Istanbul. As the first and largest company of the Yapı Merkezi Group, Yapı Merkezi Construction and Industry has realized the design and construction of a wide variety of buildings, rail systems and heavy construction projects. Since 1980, the company has also realized contracts in countries such as Saudi Arabia, Algeria, Morocco, the United Arab Emirates, Sudan, Ethiopia and Slovenia.
Mkandarasi Mkuu wa Reli ya Kisasa (SGR), Kampuni ya Yapi Merkezi anatarajiwa kufikishwa Mahakamani kwa kile kinachodaiwa kutowasilisha fedha za michango ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) ya Wafanyakazi wa Ujenzi wa Reli ya SGR kwa muda wa zaidi ya Mwaka mmoja licha ya kuwa Wafanyakazi wamekuwa...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mfanyakazi wa Mradi wa Ujenzi wa Reli ya SGR kulalamikia kuhusu Mkandarasi Mkuu wa Mradi, Yapi Merkezi, kuwa anawaondoa watu kazini kwa lazima kwa njia ya likizo na kuwa haingizi malipo ya NSSF, ufafanuzi umetolewa na Mkandarasi...
Sisi Watumishi wa SGR ambao tupo chini ya Mkandarasi Mkuu wa mradi huo, Yapi Merkezi tunasikitishwa na kitendo cha Muajiri wetu kupunguza Wafanyakazi kwa gia ya kuwapa likizo ya lazima.
Uongozi wa SGR Lot One inayoanzia Dar es Salaam kwanza ulitutaka kwenda likizo ya miezi minne, wengine...
Mahakama Kuu Kitengo cha Biashara imeiamuru Kampuni ya Yapi Merkezi Insaat Ve Sanayi kuilipa Kampuni ya Puma Energy Tanzania Ltd salio la Tsh. Bilioni 30 baada ya kusambaza mafuta ya Petroli katika Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR.
Hakimu Deo Nangela ametoa uamuzi huo baada ya kukubali...
TAARIFA YA KUSUDIO LA KUPUNGUZA WAFANYAKAZI (BAADHI)
TAREHE 25/11/2023
KWA: YAPI MERKEZI INSAAT VE SANAVI AS MAKUTUPORA TABORA
Rejea kichwa cha habari hapo juu
Wiki ladhaa nyuma kulikua na mchakato wa kupunguza wafanyakazi, mchakato huo ulifutwa baada ya sintofahamu ya namna waathirika wa...
Zaidi ya Wafanyakazi 400 wanaoshiriki katika ujenzi wa Mradi wa Reli ya Kisasa (Standard Gauge Railway – SGR) Awamu ya 2 (Lot 2) kipande cha Morogoro - Makutupora chenye urefu wa Kilometa 422 wameshiriki mgomo kwa kile kinachodaiwa kutoafikiana na uongozi wa Mkandarasi Mkuu Yapi Merkezi kuhusu...
Wakati serikali ya Tanzania ikiendelea kuficha ukweli, Kampuni ya ujenzi ya Uturuki ya Yapi Merkezi imeripoti pengo la dola bilioni 1.8 (zaidi ya shilingi trilioni 4.5 za kitanzania) katika ufadhili wa mradi wa reli ya kiwango cha kimataifa nchini Tanzania huku ikiendelea kuwezesha Dodoma...
Tanzania seeks more SGR funding from European countries
What you need to know:
Clarification: Yesterday, we published an article with the title 'Tanzania mulls plan B for SGR project as Turkish firm derailed'. This article, which has since been withdrawn, was incorrect in facts and context. The...
Mawaziri wa Fedha kutoka Tanzania na Zanzibar wameanza kuchangisha fedha kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa Mradi wa Reli ya Standard Gauge (SGR) baada ya Mkandarasi Mkuu Kampuni ya #YapiMerkezi ya Uturuki kuonyesha dalili za kuwa na changamoto ya kifedha.
Gazeti la The East African limedai...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mabalozi Wateule Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023.
https://www.youtube.com/watch?v=3hgz9HYOiR8
RAIS SAMIA: MAFUNZO YA UBALOZI YASIWE YA JUMLAJUMLA
Rais Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mabalozi...
TAARIFA KWA UMMA
UFAFANUZI WA TAARIFA ZINAZOSAMBAA ZIKIHUSISHWA NA SERIKALI YA TANZANIA KUSHINDWA KUMLIPA MKANDARASI YAPI MERKEZI NA KUPELEKEA KUSHINDWA KULIPA MISHAHARA WAFANYAKAZI WA KITURUKI
Dar es Salaam, Tarehe 15 Agosti 2023
Kampuni ya YAPI MERKEZI inayofanya ujenzi wa reli ya yenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.