Wengi huwa tunajenga makazi yetu ya kuishi kutokana na ukubwa wa vipato vyetu; wapo watakao jenga kwenye eneo la 10x10m, 20x 30m, 40 x 50m n.k
Pia, wapo watakaojenga kwenye eneo la ekari 5, 10, 20 n.k
Ila kwa mtazamo wangu; mimi naona makazi bora ni kujenga kwenye eneo lenye angalau ekari 10...