yapiga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Serikali ya Lebanon yapiga marufuku ndege za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutua uwanja wa ndege Beirut, maelfu ya abiria wakwama kusafiri

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekuchaa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Dozens of Lebanese nationals have been stranded at the international airport in Tehran since this morning after Lebanese aviation authorities informed the Iranian Mahar Air airline that its flight to Beirut would not be...
  2. Mtoa Taarifa

    TANROADS yapiga maarufu Watu kupita kwenye Flyovers kwa Miguu

    Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) imewataka Wananchi kuacha kutumia Madaraja ya juu maarufu kama Flyover isivyotakiwa kama kupita kwa miguu juu ya Madaraja hayo au kupiga picha mnato( selfii),kupiga picha za harusi na kufanya mazoezi katika Madaraja hayo. Hayo yamesemwa na Meneja wa...
  3. PureView zeiss

    Afghanistan yapiga marufuku wanawake kusomea ukunga

    Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kusoma kozi za ukunga, na wanafunzi walioko vyuoni wameamriwa wasirudi masomoni, hali inayotamatisha ndoto yao ya kupata elimu hiyo. Taarifa iliyotolewa na Shirika la Habari la BBC imesema takriban taasisi tano tofauti nchini humo...
  4. Komeo Lachuma

    Israel yapiga maeneo kama 100 hivi ya Hezbollah. Safari hii hakuna kumswalia mtu yeyote

    Tumekuwa na wakati Mgumu sana ndugu zanguni. Wakati ule anapigwa Hamas tulisema ajaribu kwa Hezbollah. Atakiona cha mtema kuni. Walipomalizana na Hamas wakaanza na Hezbollah. Wakawapiga kinyama. Wakatamani na Iran. Iran akachokozwa akaingia kwenye mfumo. Tukaanza kuwashabikia Iran kuwa sasa...
  5. HIMARS

    Israel yapiga marufuku ndege za kijeshi kutua Lebanon

    Katika hali isiyo ya kawaida, jeshi la Israel limeanza kufatilia na kutawala anga lote la Lebanon na kupiga marufuku ndege zote za kijeshi kutua Lebanon. Mamlaka ya Anga ya Lebanon imekubaliana na Israel na imefuata matakwa ya Israel. Israel imesema yeyote atayeleta ndege itazuiwa au...
  6. Kinyungu

    Video: Radi yapiga Jengo la Mekkah Clock Tower

    Video ikionesha radi ikipiga jengo la Makkah Clock tower. Wakuu hii ina maana yoyote katika matukio ya siku za mwisho? adriz Maghayo Kosugi https://x.com/BRICSinfo/status/1828454013852905681?t=nDRuVs0Jjy6m0hj2bGc7HA&s=19
  7. SAYVILLE

    Yanga yapiga picha rasmi ya msimu kwa jezi za mazoezi

    Kuna siku niliwahi kuongelea "obsession" waliyonayo viongozi wa sasa wa Yanga juu ya mambo yanayofanana na Simba, kuanzia rangi za jezi hadi wachezaji wake. Katika jambo la kushangaza sana na naamini litaleta mjadala mkubwa ndani na nje ya klabu hiyo, leo wamepiga picha rasmi ya msimu ya timu...
  8. X

    Russia-Ukraine War: Makombora ya Russia yapiga hospitali ya watoto wanaougua kansa Ukraine

    Okhmatdyt hospital iliyoko Kiev, ni moja ya hospitali kubwa Ulaya maalumu kwa ajili ya watoto wanaougua kansa. Waliolengwa ni magaidi ya Ukraine waliokuwa wamejificha kwenye hospitali hiyo. Ifike wakati Zelensky akubali kushindwa tu. Before After
  9. I

    Marekani yapiga marufuku bidhaa za nguo za viwanda 26 vya China.

    Marekani ilisema Alhamisi inazuia uagizaji kutoka kwa kampuni kadha za nguo za China, ikitaja wasiwasi wa China kutumia nguvu kazi ya kulazimishwa katika utengenezaji bidhaa. Kati ya nyongeza 26 mpya kwenye orodha ya taasisi ya Sheria ya Kuzuia Kazi ya Kulazimishwa ya Uyghur, 21 zilichukuliwa...
  10. Mateso chakubanga

    Makombora mengi ya Iran yatua na yapiga vituo vya kijeshi nchini Israel

    licha ya ndege zisizo na rubani za Iran yaani drones kudunguliwa kabla ya kulenga shabaha imegundulika idadi kubwa ya makombora ya masafa marefu ya Hypersonic ya Iran yameteketeza vibaya kambi kadhaa za kijeshi nchini Israel
  11. OKW BOBAN SUNZU

    Serikali yapiga marufuku matumizi ya kuni na mkaa kulisha watu zaidi ya 100

    Taasisi zetu hasa mashule na magereza zimejiandaaje na hili katazo?
  12. B

    Pentagon ya Marekani yaanzisha mashambulizi ya kulipiza kisasi nchini Syria, Iraq baada ya vifo vya wanajeshi

    PENTAGON : MAREKANI YAANZA MASHAMBULUZI YA KULIPA KISASI KWA KUPIGA NGOME ZA VIBARAKA WA IRAN NCHINI IRAQ NA SYRIA. SPECIAL REPORT https://m.youtube.com/watch?v=ckOSPG_A8AI Marekani yashambulia mgambo vikaragosi vya Iran ambao walishambulia ngome ya askari wa Marekani nchini Jordan na...
  13. BARD AI

    Sudan Kusini yapiga marufuku Pombe (Kiroba) maarufu kinachodaiwa kusababisha Vifo

    Authorities in South Sudan's Central Equatoria state have banned the sale of a popular beer after several people died after consuming the local gin. The Royal Gin, popularly known as "Makuei Gin" is said to be addictive, mostly to young people. Its consumption reportedly increased during...
  14. LINGWAMBA

    Makombora ya Hizbullah ya Lebanon yapigangome za kijeshi za Israel

    Wapiganaji wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon wameshambulia kwa makombora vituo na ngome za kijeshi za Israel kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu, na kusambaratisha mfumo wa kamera za usalama wa utawala huo haramu. Kwa mujibu wa kanali ya televisheni ya al-Mayadeen, wanajihadi wa...
  15. MK254

    Magaidi ya Houthi yapiga meli ya Urusi mabomu, yamechanganyikiwa tangu kipigo cha USA

    Urusi wajifunze kwa ujinga wao wa kutaka kushikamana na mazombi wa dini ile... Houthi militants mistakenly targeted a tanker carrying Russian oil in a missile attack on Friday off Yemen, British maritime security firm Ambrey said. The United Kingdom Maritime Trade Operations (UKMTO)...
  16. Ritz

    Malaysia yapiga marufuku Meli za Israel kutia nanga kwenye Bandari yake.

    Wanaukumbi. Malaysia ilisema itazuia Huduma Jumuishi za Usafirishaji za ZIM zenye makao yake makuu nchini Israel kutia nanga katika bandari zozote za taifa la Asia ya Kusini-Mashariki, hatua ambayo inaashiria kuongezeka kwa kuchanganyikiwa kwa vita huko Gaza. Nchi hiyo pia inapiga marufuku...
  17. Webabu

    Hamas yapiga uwanja wa ndege wa Ben Gurion uliopo Tel aviv

    Hapo jana Hamas ilirusha mvua ya makombora kutokea Gaza kuulenga uwanja wa kimataifa wa Ben Gurion na kuasababisha taharuki kubwa. Taarifa ya kijeshi ya Israel imesema Iron Dome zilifanya kazi kubwa ya kuyadaka makombora hayo hata hivyo yalitua uwanjani hapo na ndege za abiria ama kupigwa au...
  18. MK254

    Marekani yapiga kura ya turufu na kushikilia kwamba kipigo kiendelee Gaza

    Kura moja ya Marekani imetosha kuharibu mpango wa Umoja wa Mtaifa kutaka vita visitishwe..... Kwa kifupi HAMAS wakubali yaishe kwa kuachia mateka, na wenyewe kama vipi waihame Gaza, la sivyo itazidi kufanywa shamba.................... The United States exercises its veto at the UN Security...
  19. BARD AI

    Kenya: Mahakama Kuu yasitisha Ubinafsishaji wa Bandari za Mombasa na Lamu

    Mahakama Kuu imesitisha kwa muda mpango wa serikali kubinafsisha bandari hizo kutokana na ombi la wakazi wa maeneo hayo wanaodai Ubinafsishaji huo una njama za kutwaa usimamizi na mali za Mamlaka ya Bandari (KPA). Kwa mujibu wa Wafungua Shauri, wamedai mpango wa Ubinafsishaji wa Gati za Bandari...
  20. MK254

    Israel yapiga kura na kukubali kusitisha mapigo kwa siku tano ili HAMAS waachie mateka 50

    HAMAS wameachiwa unafuu wa mapumziko ya kipigo kwa siku nne, nayo itaachia mateka 50 wa Israel na imeambiwa itaongezewa siku moja kwa kila ikiachia mateka kumi kwa siku, ila baada ya hapo kipondo kitaendelea, na pia hamna cha wafungwa kuachiwa kutoka kwa Israel. Pia haijaelezwa mateka wasio...
Back
Top Bottom