Tume ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) imesema maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) yamepungua kutoka watu 110,000 mwaka 2016/17 hadi kufikia 54,000 mwaka 2020/2021.
Hayo yamesema Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS, Dk Leonard Maboko, Jumanne Novemba 14, 2022 wakati akizungumzia maadhimisho ya...