yaruhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rasmi: Marekani yaruhusu Silaha zake kutumika ndani ya Urusi popote pale

    Serikali za Marekani, Ufaransa na Uingeleza zimeruhusu silaha zake zitumike ndani ya Urusi, hapo mwanzo zilizuiwa kutumika ila baada ya mashambulizi ya jana kutoka Urusi wameona wairuhusu Ukraine ifanye ionacho ni sawa
  2. Polisi yaruhusu mkutano wa ACT uliopangwa kufanyika Mbagala

    Pia soma ~ Polisi: Hatujazuia mikutano ya ndani wala ya hadhara, tumezuia mkusanyiko wa Viongozi wa CHADEMA
  3. Kenya yaruhusu Dawa za Kuzuia VVU kuanza kutolewa kwenye Maduka ya Dawa

    Serikali ya Kenya imeruhusu Maduka ya Dawa za Binadamu kuanza kutoa huduma ya kwanza ya Dawa ya Kuzuia Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI (PrEP) baada ua tafiti kuonesha zitasaidia Watu kuzipata kwa haraka na kuzitumia. Imeelezwa kuwa Majaribio yaliyofanywa chini ya Mpango wa Taifa wa Kudhibiti...
  4. LATRA yaruhusu Mabasi ya Dar - Mtwara yapite Barabara ya Songea, Makambako, Iringa kwa dharura

  5. Marekani yaruhusu Israel ipige Rafah kama itaihakikishia haitapiga Iran

    Marekani ilikua inatumia nguvu nyingi kuzuia operesheni ya kupiga Rafah, ila kwa sasa imelegeza kama njia ya kuzuia Israel kupiga Iran. Ikumbukwe mojawapo wa sababu kuu kwanini inabidi Iran isisambaratishwe, lile taifa ni la kigaidi kwamba bora likabaki kama taifa kuliko kuacha magaidi ya...
  6. R

    Ujerumani yaruhusu uvutaji wa bangi kwa kiwango kidogo

    Unaruhusiwa kubeba bangi kiasi cha gram 25 , unasokota na kuvuta hadharani. --- FRANKFURT, Germany (AP) — Marijuana campaigners in Germany lit celebratory joints on Monday as the country liberalized rules on cannabis to allow possession of small amounts. The German Cannabis Association, which...
  7. India yaruhusu kuuza tani 30,000 za mchele Tanzania

    Serikali ya India imetoa kibali cha kuuza tani 30,000 za mchele mweupe kwa nchi ya Tanzania na tani 80,000 kwa Taifa la Djibouti na Guinea Bisau. India ilipiga marufuku tangu Julai 20, 2023 kuuza nje mchele mweupe usio wa Basmati katika jaribio la kudhibiti bei ya mchele nchini India na...
  8. Wakati hapa zikipigwa vita, Uingereza yaruhusu matumizi ya P2 bila ulazima wa kumwona daktari

    Lengo ni kusogeza huduma na kutanua wigo wa huduma ya upqngaji uzazi BBC --- Millions of women will be able to get free contraceptive pills on the high street from next year without having to see a GP, under new plans revealed by the NHS. Starting next month, women in England can obtain a...
  9. Misri yaruhusu wageni watumie mpaka wake kuitiroka Palestina, ila imezuia Wapalestina wasithubutu

    Wapalestina wajifie huko wasithubutu kuingia Misri kwa Waarabu wenzao, ila wageni wasio Wapalestina wapite tu shwari. https://www.youtube.com/watch?v=qGBuzavPCf4
  10. Serikali yaruhusu Mabasi ya abiria kusafiri kwa saa 24

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeruhusu Mabasi ya abiria kufanya usafirishaji wa Saa 24, baaada ya kujiridhisha kiusalama, mwamko wa wananchi, huduma za mawasiliano pamoja na miundombinu ya usafirishaji. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Nchi, Jumanne Sagini wakati...
  11. Mahakama yaruhusu Mkuu wa Wilaya kumpinga Rais Samia kumstaafisha kabla ya muda kisheria

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mjini wakati wa Magufuli Komanya Kitwala ameruhusiwa kufungua kesi na Mahakama, Ili kupinga kustaafishwa kwa lazima na Mkuu wa nchi, kwa manufaa ya Umma. Kwa taarifa kamili soma kiambatisho Cha gazeti hapo chini. ---- Mahakama Kuu Masjala Kuu imemruhusu...
  12. Serikali yaruhusu Mabasi kufanya safari za usiku

    Serikali imekubali kuruhusu magari yanayofanya safari zake kupitia Wilaya ya Sikonge kutoka Jijini Dar es Salaama kuanza safari zake kati ya saa 9 na 10 usiku ikiwa watapenda. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Alhamisi April 13, 2023 na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamadi Masauni wakati...
  13. TPA yaruhusu rasmi magari kuhifadhiwa kwenye bandari kavu (ICDV) kupunguza msongamano

    Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeruhusu rasmi kuanzia tarehe 24 October 2022, magari kupelekwa kwenye bandari kavu za nje za kuhifadhia magari kwa ajili ya kupunguza msongamano wa magari ndani ya bandari ili kuongeza ufanisi. Chini ni tangazo rasmi kutoka website ya bandari na gazeti ya...
  14. Morocco yatoa vibali 10 vya kwanza vya kilimo cha Bangi

    Vibali hivyo kwa wakulima vinawapa ruhusa kisheria kulima na kuandaa mazazo ya Bangi viwandani na kuuza nje kwa mara ya kwanza. Wakulima kutoka maeneo ya Al-Hoceima, Chefchaouen na Taounate wataruhusiwa kuzalisha na kuuza bangi kwa matumizi ya matibabu na viwandani, kwa mujibu wa sheria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…