Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei za mafuta ya petroli na dizeli nchini kwa mwezi Novemba 2024, ikilinganishwa na bei za mwezi Oktoba.
Kwa mujibu wa EWURA, bei ya petroli kwa lita moja kwa bandari ya Dar es Salaam imepungua kutoka Shilingi 3,011...
Bei ya Bidhaa za Mafuta imepungua kwa Mwezi Septemba 2024 ambapo Bei ya Petroli imepungua kwa Tsh. 91, Tanga kwa Tsh. 88 na Mtwara imepungua Tsh. 162 kwa kila Lita
Dar Petroli itauzwa kwa Tsh. 3,140, Dizeli Tsh. 3,011 na Mafuta ya Taa Tsh. 3,121. Tanga Petroli Tsh. 3,141, Dizeli Tsh. 3,020...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za Mafuta ya Petroli zitakazotumika kuanzia Desemba 6, 2023 ambapo Dar es Salaam Petroli ni Tsh. 3,158, Tanga Tsh. 3,204 na Mtwara Tsh. 3,231 kwa Lita moja ya Mafuta.
Dizeli Dar es Salaam itauzwa kwa Tsh. 3,226...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, tarehe 5 Julai 2023 saa 6:01 usiku. Pamoja na kutambua bei hizo, ni muhimu kuzingatia yafuatayo:
(a) Bei za rejareja za mafuta...
Nianze kwa kutoa pongezi kwa JamiiForums.com kutupazia sauti kuhusu gharama kubwa iliyokuwa ikitozwa kupata huduma ya choo Mbezi stendi ya daladala, hatimaye bei imeshuka na kuwa sh. 200.
Bei ya choo ilikuwa kero kubwa sana hasa kwa watu wenye shughuli zao maeneo ya stendi, bei hiyo...
Ndugu zangu leo nimestaajabu pale wife aliponiambia, mchele sasa hivi kg moja inaanzia 2400 kwa kilo hadi 3000.
Tofauti na hapo awali bei ilikuwa inaanzia 2800 hadi 3500 kwa kilo.
Mafuta ya kupikia nayo yameshuka kutoka 4500 kwa lita hadi 3800.
Maharage na mahindi nayo yamashuka kwa...
Hatimaye timu ya Marumo Gallants aka Bahlabani ba Ntwa wameshuka daraja baada ya hapo jana kufungwa bao 2 kwa sifuri na timu ya Swallows katika ligi ya Premium ya Afrika ya Kusini
Itakumbukwa Malumo Gallants walitolewa na Yanga katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho la...
Kushuka kwa bei ya mafuta na hofu kuhusu safari za mtaji kulisaidia kusukuma ruble ya Urusi hadi kiwango chake dhaifu dhidi ya dola ya Marekani katika mwaka mmoja siku ya Jumatatu, hatua ya hivi punde zaidi katika kile ambacho kimekuwa mabadiliko makubwa ya bahati ya sarafu hiyo. Ruble...
Ahueni za bei ya mafuta imezidi kuonekana kwa miezi mitatu mfululizo huku hali hii ikiakisi kushuka kwa bei za soko la mafuta la dunia.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) leo Jumanne Novemba 1, 2022 imeonyesha kuwa kuanzia kesho...
Wakati idadi ya watumiaji wa huduma za fedha kwa simu za mkononi ikizidi kuongezeka, thamani ya miamala wanayoifanya inapungua kila uchao.
Ripoti ya robo mwaka inayoishia Septemba 2022 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaonyesha idadi ya miamala imeongezeka kutoka zaidi ya milioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.